Nenda tech endapo;1.Una malengo ya kusomea ufundi na kozi zingine zitolewazo na vyuo vya ufundi 2.Una malengo ya kusoma diploma ya ufundi kwanza kabla ya digrii.Nenda advanced level kama;1.Huna mpango na ufundi 2.Una imani kuwa una akili na si kilaza 3.Unaweza kupiga msuli mrefu 4.Unataka kuwa daktari ,mwalimu na kazi zingine nyingi 5.Huna mpango na diploma)Kama una uwezo wa kukomaa na hujasomea private school,nenda advance.Ila kama wewe una element za ulaza,acha kabisa kwenda advance labda ukasome arts.ADVANCED LEVEL NI ADVANCED KWELI KWELI,USIPAKIMBILIE KAMA WEWE NI KILAZA,UTAUMBUKA MWISHO WA SAFARI.