Kipi bora kt ya A level na Technical education

Kipi bora kt ya A level na Technical education

Joined
Jan 29, 2013
Posts
47
Reaction score
0
Kuna mdogo wangu anahitaj xana msaada kujua kt ya technical eduction na A level wapi aende na ana III 23
 
Nilipata kuangalia filamu moja ambayo ina mwl anayefundisha hisabati. mwanafunzi mmoja anasema hahitaji kwenda chuo kikuu kwani ana ujuzi wa kutengeneza magari. mwl akamwambia uwe na malengo makubwa ya juu zaidi. basi si kutengeneza tu magari waliyounda wengine, bali kubuni, kusanifu na kuyaunda.
so i say alenge kwenda juu zaidi. a-level na halafu kitivo cha uhandisi na kuwa mhandisi. si fundi mchundo.
 
Unataka nini? Vyeti na umaarufu basi nenda form six, Kama unataka knowledge wa kufanya kile unachitaka kusomea basi nenda technical...!
 
kama una akili nenda technical, ila kama unataka form six upige four au three nenda a level ili baadae uwe mwalimu
 
Advanced Level maana yake ni nini ? je ina maana technical sio advanced level ? .Nadhani muuliza swali kakosea kuuliza swali.

Ningekua mimi ningesema hivi " kipi bora kwenda sekondari kwa ajili ya masomo ya kidato cha 5 na 6 au kwenda kwenye chuo cha ufundi (tech college)".
 
Advanced Level maana yake ni nini ? je ina maana tech colleges sio advanced level ? .Nadhani muuliza swali kakosea kuuliza swali.

Ningekua mimi ningesema hivi " kipi bora kwenda sekondari kwa ajili ya masomo ya kidato cha 5 na 6 au kwenda kwenye chuo cha ufundi (tech college)".
 
Tech mpango mzima,anapata ujuzi nadhani anaidea na tech au amewahi sikia mahali.
 
Advanced Level maana yake ni nini ? je ina maana tech colleges sio advanced level ? .Nadhani muuliza swali kakosea kuuliza swali.

Ningekua mimi ningesema hivi " kipi bora kwenda sekondari kwa ajili ya masomo ya kidato cha 5 na 6 au kwenda kwenye chuo cha ufundi (tech college)".

Ila si umeelewa.
 
Nenda tech endapo;1.Una malengo ya kusomea ufundi na kozi zingine zitolewazo na vyuo vya ufundi 2.Una malengo ya kusoma diploma ya ufundi kwanza kabla ya digrii.Nenda advanced level kama;1.Huna mpango na ufundi 2.Una imani kuwa una akili na si kilaza 3.Unaweza kupiga msuli mrefu 4.Unataka kuwa daktari ,mwalimu na kazi zingine nyingi 5.Huna mpango na diploma)Kama una uwezo wa kukomaa na hujasomea private school,nenda advance.Ila kama wewe una element za ulaza,acha kabisa kwenda advance labda ukasome arts.ADVANCED LEVEL NI ADVANCED KWELI KWELI,USIPAKIMBILIE KAMA WEWE NI KILAZA,UTAUMBUKA MWISHO WA SAFARI.
 
Advanced Level maana yake ni nini ? je ina maana technical sio advanced level ? .Nadhani muuliza swali kakosea kuuliza swali.

Ningekua mimi ningesema hivi " kipi bora kwenda sekondari kwa ajili ya masomo ya kidato cha 5 na 6 au kwenda kwenye chuo cha ufundi (tech college)".

Technical sio advanced level wewe,kile ni chuo cha ufundi(inazidi VETA kidogoo).We jamaa nadhani hujasoma advance na hujui muziki wake,na ina maanisha hujahitimu elimu ya sekondari.Ukisikia advanced level ujue ni advanced kweli(Waulize waliosoma PCM,PCB na PGM).Ndo maana wakimaliza f6 wanaenda 1 kwa 1 kuchukua digrii.We vp?
 
kama una akili nenda technical, ila kama unataka form six upige four au three nenda a level ili baadae uwe mwalimu

Acha ujinga wewe ualim sio dampo kama unavyofkir...unadhan wote tuliopo kwenyeualim tuna 3 au 4? Mi binafs nina 1 o-level na 1 A-level lakn npo kwenyeprofsn hii...badili mtazamo na usiwe mvivu wa kufikir.
 
Back
Top Bottom