Kipi bora kuajiriwa chuo cha uwalimu au secondary ?

lakshi

Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
30
Reaction score
7
Jamani naomba mnisaidie, kuajiriwa chuo cha ualimu na kuajiriwa shule za secondary ni ipi nzuri kimshahara na hata kujiendeleza kieimu?
:clap2::clap2::clap2:
 
Kama ukifanikiwa kupangiwa chuoni ndo pazuri zaidi hata mshaara wao ni mzuri kuzidi wa sekondari
 
Ajira kwenye vyuo vya ualimu zimesitishwa muda wa zaidi ya miaka 2 kwasasa, kwenye vyuo vya ualimu wanaajiri(kuhamia) walimu wanaotoka secondari au primary waliojiendeleza hasa masomo ya sayansi ambao tayari wana experience. Wewe ni secondary tu au uende vyuo binasfi au vyuo vikuu vishiriki vya ualimu.
 
Kama ukifanikiwa kupangiwa chuoni ndo pazuri zaidi hata mshaara wao ni mzuri kuzidi wa sekondari

nawasiwasi na elimu yako maana mshahara hulipwa kulingana na ngazi ya elimu uliyonayo.mfano mwalimu mwenye degree anayefundisha form three mshahara wake hauna tofaut na mkufunz wa chuo mwenye degree ikiwa waliajiriwa pamoja.
 
muombe sana mwenyezi akuepushe na uongo mwaka jana waliajiri na hata butimba ttc waliletwa wawili.
 
Mkuu unapoongea kitu jaribu kuwa mkweli and kuwa na uhakika na unachoongea.kuna ndugu yangu mwaka jana ameajiriwa chuo cha ualimu na hakuwa mwalimu from secondary,kamaliza form six kaingia chuo kamaliza kapata post chuo cha ualimu.
 
Kama hakuwa sayansi au elimu maalumu(walemavu) basi atakuwa kaingia kwa mlango wa nyuma, huo ndio ukweli.
 
Kama hakuwa sayansi au elimu maalumu(walemavu) basi atakuwa kaingia kwa mlango wa nyuma, huo ndio ukweli.

unaropoka tu majina zaidi ya 100 watu waliajiriwa vyuon mwaka jana. afu wewe unasema walisitisha miaka miwili acha kuropoka
 
Kama hakuwa sayansi au elimu maalumu(walemavu) basi atakuwa kaingia kwa mlango wa nyuma, huo ndio ukweli.

unadhani vyuo vyote wanafundisha elimu maalumu na sayansi tu Acha kuwa na fikra za abunuasi
 
mi najua watu wanaofundisha vyuo vya ualimu wengi wao wana shahada za BED Mfano BED psychology,BED counseling psychology
 
AJIRA ZIPO ZINATOKA 20/3/2015 NA KURIPOT 1/4/2015 walimu 36071 kuajiriwa.
 
Please acha kupotosha watu; ajira zinatoka tarehe 20/3/2015 na kuripot vituoni ni tarehe 1/4/2015. Jumla ya walimu 36071 watapangiwa vituo ;Real & current newz,.
 
acha kuwadanganya vijana walioitimu ualimu iyo idadi uliotoa ni ya mwaka jana mwaka uu bado ata tetesi tu ajira ualimu
 
asanteni sana kwa kuchangia na kujibu swali langu
:clap2:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…