Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ukifanikiwa kupangiwa chuoni ndo pazuri zaidi hata mshaara wao ni mzuri kuzidi wa sekondari
Kama ukifanikiwa kupangiwa chuoni ndo pazuri zaidi hata mshaara wao ni mzuri kuzidi wa sekondari
Ajira kwenye vyuo vya ualimu zimesitishwa muda wa zaidi ya miaka 2 kwasasa, kwenye vyuo vya ualimu wanaajiri(kuhamia) walimu wanaotoka secondari au primary waliojiendeleza hasa masomo ya sayansi ambao tayari wana experience. Wewe ni secondary tu au uende vyuo binasfi au vyuo vikuu vishiriki vya ualimu.
Mkuu unapoongea kitu jaribu kuwa mkweli and kuwa na uhakika na unachoongea.kuna ndugu yangu mwaka jana ameajiriwa chuo cha ualimu na hakuwa mwalimu from secondary,kamaliza form six kaingia chuo kamaliza kapata post chuo cha ualimu.Ajira kwenye vyuo vya ualimu zimesitishwa muda wa zaidi ya miaka 2 kwasasa, kwenye vyuo vya ualimu wanaajiri(kuhamia) walimu wanaotoka secondari au primary waliojiendeleza hasa masomo ya sayansi ambao tayari wana experience. Wewe ni secondary tu au uende vyuo binasfi au vyuo vikuu vishiriki vya ualimu.
Mkuu unapoongea kitu jaribu kuwa mkweli and kuwa na uhakika na unachoongea.kuna ndugu yangu mwaka jana ameajiriwa chuo cha ualimu na hakuwa mwalimu from secondary,kamaliza form six kaingia chuo kamaliza kapata post chuo cha ualimu.
muombe sana mwenyezi akuepushe na uongo mwaka jana waliajiri na hata butimba ttc waliletwa wawili.
Kama hakuwa sayansi au elimu maalumu(walemavu) basi atakuwa kaingia kwa mlango wa nyuma, huo ndio ukweli.
Kama hakuwa sayansi au elimu maalumu(walemavu) basi atakuwa kaingia kwa mlango wa nyuma, huo ndio ukweli.
AJIRA ZIPO ZINATOKA 20/3/2015 NA KURIPOT 1/4/2015 walimu 36071 kuajiriwa.Ajira kwenye vyuo vya ualimu zimesitishwa muda wa zaidi ya miaka 2 kwasasa, kwenye vyuo vya ualimu wanaajiri(kuhamia) walimu wanaotoka secondari au primary waliojiendeleza hasa masomo ya sayansi ambao tayari wana experience. Wewe ni secondary tu au uende vyuo binasfi au vyuo vikuu vishiriki vya ualimu.
unadhani vyuo vyote wanafundisha elimu maalumu na sayansi tu Acha kuwa na fikra za abunuasi