Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukiwa form 4, huez kwenda kusoma elim ya juu,, coz elim ya juu inaanzi na DEGREE.
labda useme kumpeleka chuo cha kawaida akaanze huku kusaka DIPLOMA
Elimu ya A level ni kichefuchefu. Inaweza ikampotezea mda kama hatofaulu. Mpele chuo ili aweze ku-specialize fani yake mapema na pia elimu ya chuo is simple kidogo kuliko kichefuchefu cha A level
Kama ana ufaulu nzur n bora umpeleke kidato cha tano
asante.nini faida za kwenda kidato cha tano hapo mkuu
Ninajiuliza na naomba kuelimishwa kwa kupewa faida na hasara. Kipi bora kwa mtoto aliyemaliza kidato cha nne. Kumpeleka kidato cha tano au kumpeleka Chuo kwa elimu ya juu.
Nawakilisha.
mpeleke chuo .hata mim nipo napiga diploma ya optometry nimetoka o level na 2naxoma na watu wa form 6 weng tu
Ninajiuliza na naomba kuelimishwa kwa kupewa faida na hasara. Kipi bora kwa mtoto aliyemaliza kidato cha nne. Kumpeleka kidato cha tano au kumpeleka Chuo kwa elimu ya juu.
Nawakilisha.