Kipi bora, kujiunga chuo au kidato cha tano?

Kipi bora, kujiunga chuo au kidato cha tano?

uncle

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2007
Posts
325
Reaction score
184
Ninajiuliza na naomba kuelimishwa kwa kupewa faida na hasara. Kipi bora kwa mtoto aliyemaliza kidato cha nne. Kumpeleka kidato cha tano au kumpeleka Chuo kwa elimu ya juu.

Nawakilisha.
 
Ukiwa form 4, huwez kwenda kusoma elimu ya juu, coz elimu ya juu inaanzi na DEGREE.

Labda useme kumpeleka chuo cha kawaida akaanze huku kusaka DIPLOMA.
 
ukiwa form 4, huez kwenda kusoma elim ya juu,, coz elim ya juu inaanzi na DEGREE.
labda useme kumpeleka chuo cha kawaida akaanze huku kusaka DIPLOMA

Asante kwa maelekezo, naomba na faida au hasara.
 
Elimu ya A level ni kichefuchefu. Inaweza ikampotezea mda kama hatofaulu. Mpele chuo ili aweze ku-specialize fani yake mapema na pia elimu ya chuo is simple kidogo kuliko kichefuchefu cha A level

Asante mkuu.
 
asante.nini faida za kwenda kidato cha tano hapo mkuu

Faida zipo kutokana na combi atakayo taka kusome maana siku hizi kama comb za science mfano PCB ukipata three tu mkopo utafanya kuusikia kwa wengine sasa hapo kama huna uwez uwiii udaktari ndio baibai

kama ni arts inategemea akipiga one au two ewaaa mkopo anapata ila kama mwenyewe hana n is na A level mpeleke tu diploma maana asje poteza muda bure na siku hizi utandawaz umeenea
 
Ninajiuliza na naomba kuelimishwa kwa kupewa faida na hasara. Kipi bora kwa mtoto aliyemaliza kidato cha nne. Kumpeleka kidato cha tano au kumpeleka Chuo kwa elimu ya juu.

Nawakilisha.

Mpeleke chuo, A level mzunguko na kupoteza muda.
 
mpeleke chuo .hata mim nipo napiga diploma ya optometry nimetoka o level na 2naxoma na watu wa form 6 weng tu
 
Mpeleke chuo ni vizuri zaidi, na kama O level alichukua science itakuwa vizuri akisoma CO's akimaliza miaka yake 3 atapata ajira na baadaye akachukua degree.

Mimi mtoto wangu akipata Div II alikuwa akachukua science, lkn niliamua aende chuo cha afya akasome diploma.

Nakushauri Mpeleke chuo, A level kupoteza muda.
 
Ninajiuliza na naomba kuelimishwa kwa kupewa faida na hasara. Kipi bora kwa mtoto aliyemaliza kidato cha nne. Kumpeleka kidato cha tano au kumpeleka Chuo kwa elimu ya juu.

Nawakilisha.

Mpeleke chuo, Advance pasua kichwa haswa kama atachukua kozi zetu zile.
 
Ila kwa sasa me namshauri asije kusoma CO maana weng wao cku hizi wanapangiwa vijijin na kwenye mazahanat labda atafute kazi kwenye private hospital ushauri wangu ni huh akasome dental therapy then akimaliza ni rahisi kwenda degree tofaut na CO WENGI wanabanwa Sanaaa hata nafasi ya kwenda kujiendeleza wanakosa
 
Mpeleke chuo tuu ila kama anapenda kidato cha tano mpeleke pia
 
Back
Top Bottom