atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,497
- 9,728
Ukiogopa changamoto mafanikio utayasikia kwa wenzio manmkuu unaweza kupata mkuu au tafuta sehemu huku mjini fungua duka la nafaka ni Bashara inayotembea maana kila siku lazima watu wale.Hardwire risk ni chache sana ukinunua hiyo HiAce ukiona simu ya konda au dereva unaanza kuhisi kuwa gari imegongwa au ajali while kwenye hardwire nondo cement haviozi
Hata mia 300k kwa siku inapatikana inategemea namtaji namaeneo.Hardware inaweza ikanipa 100-150k kwa siku kweli mkuu.
Hardware cement mfuko faida ni 500-1000.
Ninaangalia biashara nitakayotengeneza 150-200 padei. Nimefanya Savei ya biashara nyingi sana na changamoto zake zote.
Asante kwa wazo lako pia
Du kama ni 100M na unalaza 2k kwa siku komaa mwenyewe maana madereva wetu vimeoThank you zero IQ. Bei zao gharama yao ni around 100M so deni lao unalimaliza ndani ya mwaka mzima ninadhani.
Thank you mkuu ubarikiwe. Unaweza ukanipa muda wako kwa kuweka nyama kidogo ni kwa sababu gani na wengine ili tujifunze kwa kuelezea tofauti ya tata na eicher. Nina imani tumezaliwa hata hatuwajui wazazi ila tumekuwa wakubwa tukawajua. Am sure everything is learnable kikubwa uwe tayari kujifunza
Hazina maisha, zinachoka mapema mnoIla niongezee hapo bro nadhani kama kuna option ya Eicher ni nzuri zaidi kwa mawazo yangu
Hii idea nimeipenda sana hata hivyo nadhani inabidi ujifunze kwa wazoefu jinsi ya kuwa KONDA mzuri. All the best.
Ahsante
Coaster inalaza bei gani ?Kiongozi hakuna daladala yenye hesabu ya kulaza 200k, hizi ndio zile hesabu za kulima matikiti, hesabu ni 100k - 150k only, tena pengine na mshahara ukatoa.
Inategemea na route....kaulize zile gari za Mnazi mmoja to Kivukoni zinapeleka hesabu gani kwa siku.Kiongozi hakuna daladala yenye hesabu ya kulaza 200k, hizi ndio zile hesabu za kulima matikiti, hesabu ni 100k - 150k only, tena pengine na mshahara ukatoa.
Hua zinalaza bei gani kwa siku hizi ?
Ooh. N vizurinadhani 120k kama sijakosea
Hii mkuu nitajifanya kuwa kuna tajiri akanipa Gari akaniambia nitafute Dereva mkuu. Namie nitakuwemo kama mfanyakazi. Mana biashara hii changamoto wanasema kuwa ni usimamizi ndo kazi.
So nimeamua niwe naisimamia mwenyewe
Nilipoajiriwa tunazaid ya tani 15 kwasikuMnajua biashara ya kwenye karatasi ni tofauti na ktk uhalisia halisi!!! Naona watu wengi mna base sana kwenye biashara za makaratasi!! Hivi kwenye biashara ya hardware hadi uingize hiyo laki 3 kwa siku sio kazi rahisi hivyo!!! Nondo tani 3-4 kwa siku?!!! Biashara, jamani sio rahisi hivyo!! Hususani kwa uchumi wetu wa sasa huko mtaani!!
Eicher zile ni majanga,zinawahi kuchoka sana tofauti na TataIla niongezee hapo bro nadhani kama kuna option ya Eicher ni nzuri zaidi kwa mawazo yangu