Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu unaji-adjust accordinglyMiezi hii hamna shida ikifika march na kuendelea 2020 je hali bado itakuwa hivyo?
Mbeya wana akili sana! Nimesafiri kwenda Makambako SAA moja usiku kutoka Dar na Coaster inakwenda Mbeya na imejaza! The same, unaanzisha route ya mchana kutoka Dar kwenda Mwanza au Mbeya au Kahama au Arusha! Kama gari ni yako, ukichoka au ukikosà abiria unalala!Huu pia ushauri mzuri niliwahi jiuliza kwanini hakuna mabasi ya mchana kwa route za mbali mfano Mbeya huwa kuna abiria wengi sana nyakati za mchana.
Haha kwamba unawavuta kando unaongea nao....sawa mkuu nimekuelewa...Lakini angalia usije ukanunua halafu after 1 year inakula kwako....ushaur tu...Ndo hapo kuongea nao vizuri mkuu ama hunielewi bado. Ama sio ni mkenya nayeongea naye
Jamii forum ukiwa na shida ukilileta hapa unapata ushauri mzuri kwa wadau sana.kweli mnashauri vizuri wakuu
Hajawai kuifanya kabisa. Ndomana amesema anatarajia 200k kwa siku
Sijawahi ifanya mkuu. Ndo my first time. Am sure hakuna aliyezaliwa anajua wote tunajifunza
Sure kaka.Bro nikweli kabisa unayo yasema ila biashara yoyote ni kukaza moyo na kujikana kwa muda then matunda utakuja kuyaona baadae.
Umewaza vizuri ila tafuta Data za kutosha.
Ingekuwa mimi ningechagua Hiace kwakuwa hakuna atake kuwa ananidai wala sintakuwa na marejesho yoyote. Ila ujue hapo unapambana kiume hakuna kutumia sana mapaka unaanza kukopa kwa kuwa una Haice.
Vyakula aina gani mkuu.pia asante sana kwa ushauri wako kaka/ dadavyakula
Vyakula aina gani mkuu.pia asante sana kwa ushauri wako kaka/ dada
Coaster ununue kwa sh ngapi. Hiyo coaster itakuwa ni mtumba Wa Japan ama second hand ya hapa bongo mkuuKama ana 40M kwa nini asichukue Coaster ikawa inapiga route za kupeleke misiba mikoani,gari haichoki haraka inabaki na upya wake kwa muda mrefu
Kama ana 40M kwa nini asichukue Coaster ikawa inapiga route za kupeleke misiba mikoani,gari haichoki haraka inabaki na upya wake kwa muda mrefu
Na akitaka meneja wa kusimamia biashara ya gari ni kheri akamfanya mke wake,hapo kidogo biashara inaweza kufanyikaHapana, anatakiwa kuwa na meneja mwaminifu yeye akomae na mengine
Kwanini hawasajiri,dar yenyewe hiase wanasajiri sembuse uko poliniMwanza hawasajili hiace kwa sasa...
Wewe ndio una akili na maono ya mbali.Mkuu hii hela fungua hardwire
Kumbe porini.... Si uvunge sasa kama ni porini.... Unajiona mjaanja ilhali huko dar una lala sebuleni kwa shemeji yako...Kwanini hawasajiri,dar yenyewe hiase wanasajiri sembuse uko polini