mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Mkuu usihadaike na hiyo 100-150k kwenye biashara ya magari.Hardware inaweza ikanipa 100-150k kwa siku kweli mkuu.
Hardware cement mfuko faida ni 500-1000.
Ninaangalia biashara nitakayotengeneza 150-200 padei. Nimefanya Savei ya biashara nyingi sana na changamoto zake zote.
Asante kwa wazo lako pia
Usifikiri unapoletewa hiyo 100-150k ndio yote inakuwa faida yako kumbuka expenses mbalimbali kwenye gari Kama vile service za kila wiki au mwezi,Kuna maintenance ya gari inayotokana na either uchakavu,uendeshaji mbaya wa dereva au ajali.
Kwa hiyo si ajabu ukapokea laki 2 Leo halafu kesho kutwa ukaambiwa Kuna spare ya laki 5 inahitajika Hilo Ni Jambo la kawaida kwenye magari.
Yote kwa yote pengine moyo wako ndio umeshapenda hyo biashara ya magari na pengine unahisi Ni ngumu kuiacha hiyo biashara.
Sasa Kama Ni lazima ufanye hiyo biashara sikushaur uende kukopa hiyo Tata ya milioni 100 na badala yake tafuta Coaster iliyotumika kwa milioni 30 ili utakapoanza kufanya biashara unaifanya kwa Uhuru bila Deni.
Zipo Coaster nyingi tu zinauzwa mtandaoni nakutana nazo mara kwa mara Tena Zina namba C na zingine namba D kwa Bei ya milioni 30 tu.
Hilo ndio wazo langu