Kipi bora kununua Hiace mpya kwa 30M ama kuchukua Tata Marcopolo kwa mkopo

Hardware inaweza ikanipa 100-150k kwa siku kweli mkuu.
Hardware cement mfuko faida ni 500-1000.
Ninaangalia biashara nitakayotengeneza 150-200 padei. Nimefanya Savei ya biashara nyingi sana na changamoto zake zote.
Asante kwa wazo lako pia
Mkuu usihadaike na hiyo 100-150k kwenye biashara ya magari.
Usifikiri unapoletewa hiyo 100-150k ndio yote inakuwa faida yako kumbuka expenses mbalimbali kwenye gari Kama vile service za kila wiki au mwezi,Kuna maintenance ya gari inayotokana na either uchakavu,uendeshaji mbaya wa dereva au ajali.
Kwa hiyo si ajabu ukapokea laki 2 Leo halafu kesho kutwa ukaambiwa Kuna spare ya laki 5 inahitajika Hilo Ni Jambo la kawaida kwenye magari.
Yote kwa yote pengine moyo wako ndio umeshapenda hyo biashara ya magari na pengine unahisi Ni ngumu kuiacha hiyo biashara.
Sasa Kama Ni lazima ufanye hiyo biashara sikushaur uende kukopa hiyo Tata ya milioni 100 na badala yake tafuta Coaster iliyotumika kwa milioni 30 ili utakapoanza kufanya biashara unaifanya kwa Uhuru bila Deni.
Zipo Coaster nyingi tu zinauzwa mtandaoni nakutana nazo mara kwa mara Tena Zina namba C na zingine namba D kwa Bei ya milioni 30 tu.
Hilo ndio wazo langu
 
Coaster ambayo imetumika hapa nyumbani niununue kwa MTU mkuu ama niagize mtandaoni tokea Japan mkuu? Hii coaster ya 30M inapatikana wapi tafadhali kama ni from Japan ila hapa hapa nyumbani kwa MTU hii sio kwangu mkuu. Hiyo maintenance yake si ya kitoto
 
coaster
coaster
coaster
coaster
coaster
coaster
coaster

haya maamuzi hutayajutia spear hata used unapata haichoki haraka na ikichoka unaiuza bila stress
route: simu2000 bunju
Naunga mkono hoja kwa asilimia [emoji817].
Route nyingine ukiacha hiyo ya Mawasiliano-Bunju ni ya Kawe(Makumbusho)-Goba-Mbezi
 
Hata mia 300k kwa siku inapatikana inategemea namtaji namaeneo.
Cement hainapesa kma vitu vya chuma kwenye hardware nondo, flat bar navinginevyo(bati achana nazo).
Tafuta usafir kma canter ya 3.5 tons suply bidhaa 2 au tatu za hardware kwa jumla kwenye maduka ya rejareja kwakutumia usafir wako.
Kwasiku ukiweza kusuply ton 3 au 4 zanondo inatosha kwakuanzia, kwajumla nondo inauzwa kuanzia tani 1 means naongelea wateja 2 au 3 kwasiku ambayo inaweza kukupa 20 tons kwa week ambayo kila ton inafaida ya 70k kwa week inakua ni 1.4m.
Biashara inafaida sababu hata pics moja haiwez kuaribika chance ya hasara nindogo mno plus gari pia inakua haitumik snaView attachment 1281555
Mkuu uko sahihi Sana,hata Mimi ndio ndoto yangu ila nasubiria mtaji tu niianze.
Kiukwel nimewashuhudia watu wengi Sana wametoboa kupitia hardware huku mitaani kwetu ila sijawahi kumuona aliyefanikiwa kupitia biashara ya magari,karibu wote naona wanaangukia pua tu.
 
Mnajua biashara ya kwenye karatasi ni tofauti na ktk uhalisia halisi!!! Naona watu wengi mna base sana kwenye biashara za makaratasi!! Hivi kwenye biashara ya hardware hadi uingize hiyo laki 3 kwa siku sio kazi rahisi hivyo!!! Nondo tani 3-4 kwa siku?!!! Biashara, jamani sio rahisi hivyo!! Hususani kwa uchumi wetu wa sasa huko mtaani!!
Uzur wa hardware vitu vyake haviozi na wala hakuna ajali.
Unaweza usiuze vitu vya maana wiki nzima halaf badae akaja mtu mmoja tu akanunua bidhaa za mil 3 au 4 ukafidia gepu la wiki nzima.
 
Coaster ambayo imetumika hapa nyumbani niununue kwa MTU mkuu ama niagize mtandaoni tokea Japan mkuu? Hii coaster ya 30M inapatikana wapi tafadhali kama ni from Japan ila hapa hapa nyumbani kwa MTU hii sio kwangu mkuu. Hiyo maintenance yake si ya kitoto
30m ni ya kununua kwa mtu mkuu.
Kumbuka unapojitosa kununua gari na kuanza biashara huwa ni pata potea mkuu haijalishi umenunua mpya au used.
Kununua gari mpya usifikir kwamba ndio utakuwa na guarantee ya kurudisha pesa yako na faida lolote linaweza kutokea kwa wakati wowote.
 
Mkuu usihadaike na hiyo 100-150k kwenye biashara ya magari.
Usifikiri unapoletewa hiyo 100-150k ndio yote inakuwa faida yako kumbuka expenses mbalimbali kwenye gari Kama vile service za kila wiki au mwezi,Kuna maintenance ya gari inayotokana na either uchakavu,uendeshaji mbaya wa dereva au ajali.
Kwa hiyo si ajabu ukapokea laki 2 Leo halafu kesho kutwa ukaambiwa Kuna spare ya laki 5 inahitajika Hilo Ni Jambo la kawaida kwenye magari.
Yote kwa yote pengine moyo wako ndio umeshapenda hyo biashara ya magari na pengine unahisi Ni ngumu kuiacha hiyo biashara.
Sasa Kama Ni lazima ufanye hiyo biashara sikushaur uende kukopa hiyo Tata ya milioni 100 na badala yake tafuta Coaster iliyotumika kwa milioni 30 ili utakapoanza kufanya biashara unaifanya kwa Uhuru bila Deni.
Zipo Coaster nyingi tu zinauzwa mtandaoni nakutana nazo mara kwa mara Tena Zina namba C na zingine namba D kwa Bei ya milioni 30 tu.
Hilo ndio wazo langu
Ushauri mzuri sana. Kukopa daladala ukitegemea hiyo hiyo irudishe mkopo na wewe ule hapo hapo ni risk kubwa.

Mkuu endelea kufanya utafiti zaidi kabla ya kuweka hela yako yote humo. Biashara ukiifanya kwa mara ya kwanza changamoto nyingi mno.

Kuna jamaa tulimshauri mambo ya daladala akakazania kuingia kwa hesabu za 100,000 kila siku, sasa hivi limepaki Temeke.
 
30m ni ya kununua kwa mtu mkuu.
Kumbuka unapojitosa kununua gari na kuanza biashara huwa ni pata potea mkuu haijalishi umenunua mpya au used.
Kununua gari mpya usifikir kwamba ndio utakuwa na guarantee ya kurudisha pesa yako na faida lolote linaweza kutokea kwa wakati wowote.
Unajitosa ila muda huo huo unapolichukua tokea kwa MTU ni lazima uwe una uwezo kujua uzima Gari ni zima ama sio zima
 
Ushauri mzuri sana. Kukopa daladala ukitegemea hiyo hiyo irudishe mkopo na wewe ule hapo hapo ni risk kubwa.

Mkuu endelea kufanya utafiti zaidi kabla ya kuweka hela yako yote humo. Biashara ukiifanya kwa mara ya kwanza changamoto nyingi mno.

Kuna jamaa tulimshauri mambo ya daladala akakazania kuingia kwa hesabu za 100,000 kila siku, sasa hivi limepaki Temeke.
Alilolipaki hapo temeke analiuza ama anavutia upepo mkuu.
Hii biashara INA risk sana!
 
Uzur wa hardware vitu vyake haviozi na wala hakuna ajali.
Unaweza usiuze vitu vya maana wiki nzima halaf badae akaja mtu mmoja tu akanunua bidhaa za mil 3 au 4 ukafidia gepu la wiki nzima.
Kwa mtaji wa mtoa mada mimi nitachagua Hardware wala siulizi mara mbili.

Daladala inalisha Traffic, Wapiga debe, Sumatra, Ewura, wenye maduka ya spare, wewe unawatafutia.
 
Alilolipaki hapo temeke analiuza ama anavutia upepo mkuu.
Hii biashara INA risk sana!
Haliuziki limechoka, labda akalikate.

Nimekaa karibu sana na wamiliki wa daladala wanaofanikiwa wengi kwanza wanakua na daladala zaidi ya moja,ama wanashirikiana.

pili wana gereji zao na wanaajiri mafundi kabisa gari ikizingua inaingia gereji,

tatu wanakuwa na maduka ya spea humdanganyi kwa chochote kile kwenye spea wanajua machimbo yote mjini. So wanaweza wakatengeneza gari bila kuwa na cash in hand.

Sasa wewe ghafla engine imezingua, muhindi anataka rejesho gari inatakiwa ishushwe mashine believe me utapata pressure. Halafu gari kuwa mpya sio guarantee 100% kwamba haitazingua.
 
Unaloliongea ni kweli mkuu na umeongea tokea moyoni. Kwani hilo LA tmk limechoka nini.kuna ile unanunua bodi afu unanunua engine unaivalisha kitu unakipata kwa Bei chee kabisa labda utakarabati kidogo bodi na kuweka viti sawa.
 
Yeah kweli mkuu wapo wanaofanya hivyo, na wanafanikiwa sababu wanajua biashara ya daladala. Wewe watakudanganya tu wale hela yako kuanzia fundi n.k hawajali.

Ukisema ukomae utajifunza lakini utakuwa juu ya mawe. Usichezee milioni 40 yako mkuu kwenye daladala tena uanze na mkopo. Asilimia 90 wanafeli kwenye hii biashara.
 
Kwa kuwa unataka ushauri wa magari ngoja tukushauri kwenye magari ambao tumeshatoka huko.

1. Kwa lengo la mzunguko wa pesa ya chap chap na pressure juu, chukua TATA kwa sababu zifuatazo.
a. Vipuri vyake ni bei juu, na ufundi wake ni gharama, pindi kile cha upya kimeisha.
b. Ngoma ikichoka huwezi iuza mapema ukilinganisha na hiace utakayonunua.
C. Ukikomaa mlangoni ni vyema, ila kwa sababu wewe ni mgeni kwenye game, watakupgisha mswaki mwanzo mwisho, na jioni dereva anajua posho yake ipo, hivyo huna la kubisha maana hela ulikuwa unachukua wewe.
Mfano, kama wangekuwa wenyewe wangepanga foleni na kujaza level seat na wanaenda mdogo mdogo ila ukiwa nao wanakwambia foleni ndefu tuanze mbele huko wanakimbizana mwisho wa route unaenda mswaki na kurudi mswaki.. ( bora uwaache wenyewe wakuletee hesabu usiweke mpambe).
Hapa kama unaweza omba hata deiwaka kwanza kwenye magari kwa miezi kadhaa then ndo uwe na chombo yako uzuge nimepewa na uncle. Faida yake utajua konda/derva yupi chenga na yupi mzuri.

D. Mabao kwa costa na hiace hayatofautiana sana, ila costa/tata inaongoza,
E. Riba ya mkopo against na running expenses unatakiwa uliangalie haswa baada ya miezi 6-8 kuisha.

2. Chukua hiace/costa.( agiza japani)
Kwani hela yake ni 50 hadi 100k ni yako na ukiipata huwazi marejesho.
Wewe ni service na benk.
2. Ikichooka ni rahisi kufanyiwa matengenezo ikarudi karibia na upya kwa bei nafuu ukilinganisha tata.
3. Unaweza ukapata tenda ya kubeba wanafunzi wa shule na ikakulipa kwa rahisi kwa ruti za asubuhi na mchana.
Kingine u cane manage seven kuendesha mwenyewe.

Ushauri mwingine mbadala wa hayo magari/ iron businesses.
1. Cjui upo wapi ila fuga mbuzi wa nyama, fuga mbuzi tafuta eneo hiko singida kodi( hata heka 10.) Kashinde huko ununie mbuzi uwe na mbuzi 50 kwa kuanzia nakuapia baada ya mwaka na nusu. Hutaki tena hiace au tata.
2.ushauri mwingine usifanye haraka kwenye jambo lolote anza mdogo mdogo na usiwekeze mzigo wote kwenye 1 running business.

Nakutakia mafanikio mema, ukafanikiwe mwana jf
 
Kwa mtaji wa mtoa mada mimi nitachagua Hardware wala siulizi mara mbili.

Daladala inalisha Traffic, Wapiga debe, Sumatra, Ewura, wenye maduka ya spare, wewe unawatafutia.
Ndio hivyo mkuu, biashara ya gari Ni sifa tu mbele za watu na kunyooshewa vidole kwamba unamiliki daladala lkn hakuna Cha maana unanufaishe watu wengine tu.
Halafu kibaya zaidi dereva na konda hao ndio wanaamua wakuletee kiasi gani na wao wabakiwe na kiasi gani,ile hesabu ya 150000 kwa siku Ni ya kwenye makaratasi tu.
 
Ushauri mzuri sana. Kukopa daladala ukitegemea hiyo hiyo irudishe mkopo na wewe ule hapo hapo ni risk kubwa.

Mkuu endelea kufanya utafiti zaidi kabla ya kuweka hela yako yote humo. Biashara ukiifanya kwa mara ya kwanza changamoto nyingi mno.

Kuna jamaa tulimshauri mambo ya daladala akakazania kuingia kwa hesabu za 100,000 kila siku, sasa hivi limepaki Temeke.
Hahahaha,ndio hivyo mkuu kwenye biashara ya magari wanaotoboa ni 100 kwa wawili Tena katika hao wawili utakuta sio mbantu au Kama ni mbantu labda mkinga.
 
Back
Top Bottom