Kipi bora kununua Hiace mpya kwa 30M ama kuchukua Tata Marcopolo kwa mkopo

Hardware inaweza ikanipa 100-150k kwa siku kweli mkuu.
Hardware cement mfuko faida ni 500-1000.
Ninaangalia biashara nitakayotengeneza 150-200 padei. Nimefanya Savei ya biashara nyingi sana na changamoto zake zote.
Asante kwa wazo lako pia
mkuu unaweza kupata mkuu au tafuta sehemu huku mjini fungua duka la nafaka ni Bashara inayotembea maana kila siku lazima watu wale.Hardwire risk ni chache sana ukinunua hiyo HiAce ukiona simu ya konda au dereva unaanza kuhisi kuwa gari imegongwa au ajali while kwenye hardwire nondo cement haviozi
 
Tujue kwanza ya marcopolo kwa mkopo ni sh ngapi ndio tuweze kukushauri.
Habarini wanajamvi.
Ninaombeni msaada Wa kimawazo na ushauri kwa wenye uzoefu na hii biashara.
IPI bora Nina 40M ninafikiria kuiwekeza kwa biashara ya huduma za usafirishahi Wa abiria.

Hapa nilipo nipo njia panda kati kununua hiace mpya inayo range 25-30M ama niende pale kwa wahindi niwape 30+M wanipe marcopolo tata mpya yenye zero mileage afu nawalipa kidogokidogo wanabaki na kadi original.

Hii inaweza ikaleta hesabu ya 200k kwa siku wakati hiace itanilazia 50k kwa siku.
Hii tata mpya ninawazia mana ni mpya hivyo zile heavy services and spear replacement rate inakuwa ni ndogo kuliko hii used hiace.
Karibuni kwa wenye mawazo positives tushauriane katika kuusukuma umasikini mbali.
 
Mkuu hao wa hindi wanahitaji ulipe angalau 50% ya bei ambayo ni kama 60m kwa hire purchase tena hizo Tata zinalaza 120,000 hadi 150,000 kwa route za Dar manaake utaendesha miaka miwili kumaliza deni Tata hiyo intakua imedepreciate sana, lakini kikubwa zaidi vipuri vya hizo gari nivipya na bei iko juu sana hamna used, utaendesha kwa pressure yeye muhidi hana hasara atakuambia ukate Bima kubwa incase yeye gari lake linarudi......tena mtu mwenye mali ya 120m hawezi kukaa kwenye mlango au usukani stress ninyingi utagonga na pia ma konda na madereva watakupiga vita paka uwachie gari.....unaweza ukafa kabla hujamaliza mkopo huo, jua kila sehemu/kazi inawenyewe acha wazarama waendesha dala dala zao utaumia zaidi tafuta biashara nyingine salama zaidi
 
Hifh
mkuu unaweza kupata mkuu au tafuta sehemu huku mjini fungua duka la nafaka ni Bashara inayotembea maana kila siku lazima watu wale.Hardwire risk ni chache sana ukinunua hiyo HiAce ukiona simu ya konda au dereva unaanza kuhisi kuwa gari imegongwa au ajali while kwenye hardwire nondo cement haviozi
High risk ...........
 
Hii mkuu nitajifanya kuwa kuna tajiri akanipa Gari akaniambia nitafute Dereva mkuu. Namie nitakuwemo kama mfanyakazi. Mana biashara hii changamoto wanasema kuwa ni usimamizi ndo kazi.
So nimeamua niwe naisimamia mwenyewe
 
Habarini wanajamvi.
Ninaombeni msaada Wa kimawazo na ushauri kwa wenye uzoefu na hii biashara.
IPI bora Nina 40M ninafikiria kuiwekeza kwa biashara ya huduma za usafirishahi Wa abiria.

Hapa nilipo nipo njia panda kati kununua hiace mpya inayo range 25-30M ama niende pale kwa wahindi niwape 30+M wanipe marcopolo tata mpya yenye zero mileage afu nawalipa kidogokidogo wanabaki na kadi original.

Hii inaweza ikaleta hesabu ya 200k kwa siku wakati hiace itanilazia 50k kwa siku.
Hii tata mpya ninawazia mana ni mpya hivyo zile heavy services and spear replacement rate inakuwa ni ndogo kuliko hii used hiace.
Karibuni kwa wenye mawazo positives tushauriane katika kuusukuma umasikini mbali.
Nenda Tata saivi wanauza kama 120M ivi ila unalipa 30% na Bima comprehessive 10M. gharama zingine ni TRA , Sumatra kama laki tano ivii. Gari ikiwa Mpya na ukipata dereva mzuri service ni oil tuu mpaka miezi sita
 
Back
Top Bottom