Mkuu Mimi naona bora kununua incubator, kwani Licha ya gharama, ukiitunza vizuri itadumu muda mrefu, na utatimia Kama ajira kuwauzia watu vifaranga au nimekosea mkuu?Mkuu nami nina wazo kama ilo nmejena banda kubwa tu.....Nipo njia panda nifuge kwa vifaranga au ninunue kuku wakubwa?. ww kwa matazamo wako ni lipi jema.
Mkuu hiyo incubator ni ya mayai mangapi?Mkuu anza na incubator uwe tayari kulea vifaranga
Ukitotoa unalea na mteja akija akitaka umri wowote unauza
Pia unaweza ukakodiswa kutotolesha ukalipwa kulingana na idadi ya mayaiView attachment 1101178
Mkuu zipo incubator za bei tofauti Kulingana na ufanisi...mfano kuna incubator za mayai 30,48,96, mpaka mayai 1000 huko pia zipo incubator za Umeme, solar, gesi na mafuta ya taa pia sio hivy9 tu kuna incubator automatic ambayo inageuza mayai yenyewe na manual ambayo unageuza mayai wew...... bei inaanzia 130 kwa mashine inayotumia mafuta ya taa Kama sijakosea sanaKwani hiyo incubator ina gharimu kiasi gani??
Mkuu hiyo incubator ni ya mayai mangapi?
ulinunua bei gani na jana hutojari unaweza niambia ufanisi wake upoje mkuu?
Mimi nilinunua wa miez miwili mpaka mitatu nimewakuza... Ila sasa nafikiria kununua incubator nitotoleshe vifaranga.....
Pia natamani kufuga wa mayai ila sina uzoefu nao mwenye kujua anipe process mpaka wanataga nifuate hatua zipi
Pia naomba kujua incubator inachukua Muda gani mpaka vifaranga kutoka
Yes mkuu maana najua taratibu ntaongeza Mtaji na kwakuanza na kuku 100 sio mbaya- Usipende kununua kuku wakiwa wakubwa, kuku wakubwa kuzoea mazingira itakuwa ni shida kidogo na pia mara nyingi watu wanaouza kuku weng wao huwa na magonjwa ambapo itakuchukua mda kulitambua ivyo haliyakuwa wamechanganyika na wenzake itakughalimu.
Pia mimi nakushauri usinunue kwanza incubator itakukost,
umesema unamtaji wa 5G hunahisi mtaji wako utatosha kuwanunulia chakula na chanjo kuku wako ????
Nipo Kilimanjaro mkuuMkuu unapatikana pande zp aiseh
Mimi ushauri wanguMimi nilinunua wa miez miwili mpaka mitatu nimewakuza... Ila sasa nafikiria kununua incubator nitotoleshe vifaranga.....
Pia natamani kufuga wa mayai ila sina uzoefu nao mwenye kujua anipe process mpaka wanataga nifuate hatua zipi
Pia naomba kujua incubator inachukua Muda gani mpaka vifaranga kutoka