Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama una haraka! Ingia kijijini chukua kuku 20 kwanza uone! ila kuwa muangalifu yaani uwe unawasoma muda wote na uwe na elimu ya kuchagua kuku..
SawaMkuu nitakuPm aiseh umenimotivate sana.. Shukrani
Mkuu nimevutiwa na ubunifu wako, nami nipo mbioni kutengeneza yangu, shida inakuja kwenye hivyo vifaa vya kupimiA joto, vp hivyo vifaa ulinunua bei gani na vinapatikana wapi??Mkuu anza na incubator uwe tayari kulea vifaranga
Ukitotoa unalea na mteja akija akitaka umri wowote unauza
Pia unaweza ukakodiswa kutotolesha ukalipwa kulingana na idadi ya mayaiView attachment 1101178
Mkuu nipo Kilimanjaro kama unahitaji vifaa ni pm nikupatie digital temprature controla hiyo inayo onesha namba hapo kwenye picha hicho kifaa kinakuonyesha kiwango cha joto na kama joto likizidi hupooza ili mayai yasiungue karibu mkuuMkuu nimevutiwa na ubunifu wako, nami nipo mbioni kutengeneza yangu, shida inakuja kwenye hivyo vifaa vya kupimiA joto, vp hivyo vifaa ulinunua bei gani na vinapatikana wapi??
Usianze na kuku 100.anza na kuku wachache wa zaliane wenyewe na kufikia idadi hio, anza hata 30.Maisha hayataki haraka utafeli vibaya.Yes mkuu maana najua taratibu ntaongeza Mtaji na kwakuanza na kuku 100 sio mbaya
Mkuu naweza pata ya mayai 30 kwa sh ngapIncubator inatotoa siku 21 kama kuku pia unaweza kuweka mayai ya ndege yeyote ni kubadilisha seting kuweka nyuzi joto linaloitajika katika yai husika
Mkuu Mimi naona bora kununua incubator, kwani Licha ya gharama, ukiitunza vizuri itadumu muda mrefu, na utatimia Kama ajira kuwauzia watu vifaranga au nimekosea mkuu?
Kuku wa Kienyeji kwanza Tambua sio kuku wa biashara.Wakuu habarini na poleni na mihangaiko ya hapa na pale...
Wakuu nilikuwa nakijimtaji cha laki 5 hapa , na mwaka huu nataka kufuga kuku wa kienyeji, na baadaye nije nichanganye na chotara au wengine huita wamalawi....
sasa Wakuu lipi ni wazo bora kati ya kununua incubator ya mayai 96 nikatotoresha kuku wa kienyeji nakuanza na kuku wakiwa wadogo (vifaranga) au niingie kijijini nitafute kuku 40 nianze kuwafuga wakiwa tayari wakubwa?
Wenye uzoefu kidogo na wenye mawazo naomba mnisaidie katika hili Wakuu, natanguliza shukrani zangu.