Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Kwa nini mwenzio anaendekeza mawasiliano yasiyofaa na watu wengine wakati yuko katika mahusiano na wewe? Kwa nini hasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa alivyoandika inawezekana hata mwenzake hana mawasiliano yasioleweka ila hisia zake ndo zinamfanya aone kila kitu tofauti na vile kilivyo.Kwa nini mwenzio anaendekeza mawasiliano yasiyofaa na watu wengine wakati yuko katika mahusiano na wewe? Kwa nini hasa?
Jamaa alivyoandika inawezekana hata mwenzake hana mawasiliano yasioleweka ila hisia zake ndo zinamfanya aone kila kitu tofauti na vile kilivyo.
kama unaugonjwa wa moyo usipekue
hamuaminiani mpaka mchunguzane, huo ndio mwanzo wa kutafuta shari, si upekue yakwako!
Bora kupotezea.