kipi bora kwa muathirika wa HIV?

kipi bora kwa muathirika wa HIV?

hitler2006

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2014
Posts
489
Reaction score
454
Kuanza tiba kabla hujaanza kupata mashambulizi ya magonjwa nyemelezi au kusubiri, nitaapriciate clinical response.
 
Huwezi kuanza dawa kama hujapima CD4.

Kuna reason mbili za mgonjwa wa Hiv kuanza doze kwanza ni clinical stage zipo 1,2,3,4 wakiona upo kwenye 2,3,4 unaanzishiwa dawa. Pili ni CD4 ukiwa na CD4 chini ya 350 lazima uanze dawa. So unaweza ukawa kwenye clinical stage 1 lakini CD4 zipo chini ya 350 lazima uanze dawa. Mimi sio nurse wala doctor ila nimekujibu kwa sababu nimewahi fanya kazi CTC
 
kuanza tiba kabla hujaanza kupata mashambulizi ya magonjwa nyemelezi au kusubiri.nitaapriciate clinical response.

Nenda PASADA Chang'ombe utapatiwa ushauri mzuri sana na hata ARV's pia.
 
Back
Top Bottom