KIPI BORA KWENYE MAHUSIANO

KIPI BORA KWENYE MAHUSIANO

🤣🤣🤣Mchakamchaka ukichoka na hormone zimeshakauka,life is too short mama
Acha tu vijana wapendane bana, mie vishajikaukia, yani sahivi ipo kama kuni hata ikishikwa haina tena water....😊
 
Hakuna mwanamke atakukubali kwakumwambi unataka umuoe, ndoa ni tokeo baada ya kupendana tiali, hisia kujengeka na mimba nk ila stranger tu unatongoza nitaka kukuoa not work
Inategemea na mazingira mkuu usikalili wapo utakao waambia unataka kuwaowa waka kuelewa na wapo pia watakao kataa ila nashauri ni vyema kuwa mkweli ili usimpotezee mwenzio muda na maisha
Hakuna mwanamke atakukubali kwakumwambi unataka umuoe, ndoa ni tokeo baada ya kupendana tiali, hisia kujengeka na mimba nk ila stranger tu unatongoza nitaka kukuoa not work
 
Mapenzi ya forever hayapo sikuhizi....kikubwa usidanganye eti utamwoa......nyie anzeni mtakapoishia ndo hapohapo
 
Bila uongo,hata kwenye mnyanduo kunaweza kusiwe na msisimko mkubwa

UONGO NDO UTAMU WA MAPENZI
 
Back
Top Bottom