Wapi naweza kusoma ACCA hapa nchini ..I mean tuition center na vituo vya mitihani
Piga CPA kama uko na nguvu.Nimejiajiri
Ilibidi kwanza umuulize kajiajiri kwenye nini! Je kama anataka kujiajiri kama auditor? Au kama ana audit firm?Kama umejiajiri then focus na core activities za shughuli yako.
CPA/Master's zote hazita add chochote kwny shughuli zako.
Key word 'Core activities'.Ilibidi kwanza umuulize kajiajiri kwenye nini! Je kama anataka kujiajiri kama auditor? Au kama ana audit firm?
Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
CPA hata akiisoma bila kui-practice kwny auditing firm hakuna kitu itamsaidia kwny shughuli zake,hio MBA za kibongo bongo atakutana na theories na story za biashara (inawafaa waaajirwa kwa ajili ya kuongeza CV zao na kuji-add value) lkn kwny biashara hakuna kitu ita-add.Piga CPA kama uko na nguvu.
Kama huna piga MBA
So kwako CPA inatumika tu kwenye Audit firm?CPA hata akiisoma bila kui-practice kwny auditing firm hakuna kitu itamsaidia kwny shughuli zake,hio MBA za kibongo bongo atakutana na theories na story za biashara (inawafaa waaajirwa kwa ajili ya kuongeza CV zao na kuji-add value) lkn kwny biashara hakuna kitu ita-add.
Naongea hivi Kama mtu mwenye CPA (ACPA) NA MBA.