Kipi Bora MBA in finance au CPA /ACCA

Kipi Bora MBA in finance au CPA /ACCA

Wapi naweza kusoma ACCA hapa nchini ..I mean tuition center na vituo vya mitihani

Ndio ACCA ni mitihani tu kama ilivyo CPA ama CSP

Covenant wanafundisha. Pia kuna tution centre nyingi tu za wahindi mjini zinafundisha tution za kujiandaa na mitihani ya ACCA
 
Piga CPA kama uko na nguvu.
Kama huna piga MBA
CPA hata akiisoma bila kui-practice kwny auditing firm hakuna kitu itamsaidia kwny shughuli zake,hio MBA za kibongo bongo atakutana na theories na story za biashara (inawafaa waaajirwa kwa ajili ya kuongeza CV zao na kuji-add value) lkn kwny biashara hakuna kitu ita-add.

Naongea hivi Kama mtu mwenye CPA (ACPA) NA MBA.
 
So kwako CPA inatumika tu kwenye Audit firm?
 
Back
Top Bottom