Kipi Bora? "Ubaya ulipwe na Ubaya" au "Ubaya ulipwe na wema"

Kwa mfano monks,monk anaungama kosa.
Anaulizwa"Unalitambua kwamba ni kosa?"
Anasema,ndiyo.
Anaulizwa,"Unaahidi kwamba hutalirudia tena?"
Anasema, ndiyo.
Basi,anaambiwa,katika dini yetu mtu akitambua kosa na akiahidi kutolirudia,hivyo ndivyo anavyoendelea kiroho .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…