Illuminata Rodgers
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,845
- 2,024
Sio rahisi kiivo, me nimejaribu mara kibao lakini horaa. Yani inatokea tu mtu hayupo kwenye akili yako unaamua kugive up kuepusha lawama hapo mbeleniKwanini usimpende mtu hapo wewe ni tatizo
uchochezi uwoooHizo zote ni sawa na kura zetu za Mwaka!
Shida sana,manyanyaso daily!Jaribu kupenda usipopendwa uuone moto wake.