Illuminata Rodgers
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,845
- 2,024
Hello wanajf,kipi ni bora kupendwa na mtu usiyempenda au kumpenda mtu asiyekupenda?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio rahisi kiivo, me nimejaribu mara kibao lakini horaa. Yani inatokea tu mtu hayupo kwenye akili yako unaamua kugive up kuepusha lawama hapo mbeleniKwanini usimpende mtu hapo wewe ni tatizo
uchochezi uwoooHizo zote ni sawa na kura zetu za Mwaka!
Shida sana,manyanyaso daily!Jaribu kupenda usipopendwa uuone moto wake.