Illuminata Rodgers
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,845
- 2,024
- Thread starter
-
- #21
Hii ni possibleBora nipendwe na mtu asiyenipenda maana anaweza nifanya nimpende kwa treatment atakayonipa
Mimi napendwa na nisiempenda wala sioni chembe ya rahaa!!bora kupendwa maana ukipenda wewe.utateseka
Usiishi kwa mazoea na pia jaribu kuvaa viatu vya muhusika kuwa je ingekuwa wewe anakutenda hivyo ungejisikiaje???Sio rahisi kiivo, me nimejaribu mara kibao lakini horaa. Yani inatokea tu mtu hayupo kwenye akili yako unaamua kugive up kuepusha lawama hapo mbeleni
Teh teh teh,pole!Mimi napendwa na nisiempenda wala sioni chembe ya rahaa!!
Hii huwa inatokea kwa wachache kwa walio wengi hisia hupishana.hakuna ubora wowote raha ya mapenzi mpendane