Kipi bora?

Kipi bora?

Sio rahisi kiivo, me nimejaribu mara kibao lakini horaa. Yani inatokea tu mtu hayupo kwenye akili yako unaamua kugive up kuepusha lawama hapo mbeleni
Usiishi kwa mazoea na pia jaribu kuvaa viatu vya muhusika kuwa je ingekuwa wewe anakutenda hivyo ungejisikiaje???
 
Back
Top Bottom