Mkudisingo
JF-Expert Member
- Mar 26, 2014
- 421
- 122
jamani naombeni ushauri nimefahulu masomo ya sayanc yote nina alama c, sasa lengo langu mm nikuw daktar baadae kwan hizo ni ndoto zangu na sitaki kutoka nje ya hapo sasa naombeni ushauri je nijiunge na diploma ya clinical then nipate dgree au niende advanc kipi ni sahihi hapo.bila kuzingatia muda utakao tumika , akhsante
Vyote sawa kabisa. Ila njia ya clinical officer imewafanya wengi kuwa jasiri zaidi na ari ya kusoma MD inakuwa kubwa zaidi. Sisemi kwenda Advance ni mbaya ila kama lengo lako ni kufikia level ya Udaktari ninamatumaini hata Advance utakaza vizuri zaidi upate zaidi ya hapo maana chini ya C advance huwezi kuchukuliwa kwa ajili ya Medicine na mfumo wa NECTA na Wizara ya elimu bado haujatulia kwa sasa, kwa hiyo huwezi kujua wakati unafanya Advance kikatokea nini. Kwa C za mwaka huu we nenda clinical officer ujipatie na ajira then baada ya muda kajiendeleze. Pia unaweza kusoma advance kwa ajili ya kupanua wigo wako wa kusoma vitu vingine hata kama hutabahatika kusoma Medicine. So unaweza kupima mwenyewe.
nakushukuru sana SISERA,. . hapo uliposema chini ya c sitochaguliw unamaana kila somo lazma nipige c and above ktk PCB ili kuchaguliwa kwenda MD chuo kikuu