Kipi cha kufanya iwapo gari imeingia maji

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
8,130
Reaction score
8,362
Kutokana na mvua zinazoendelea. Tujuzane hatua za kufanya iwapo gari itasombwa na maji au itaingia maji kutokana na mafuriko.
 
Ikiwa itazima ufanyike utaratibu wa kuizima isukumwe hadi sehemu salama, fundi aitwe achukue bodaboda kabisa ila aeleweshwe kabla ili ajue tatizo hapo itakua rahisi kwake yeye kuandaa spana za kuja nazo
Maana zaidi hapo maji yatakua yamefika kwenye plugs
Ila onto, kama unaendesha gari ukakuta sehemu maji yanakatisha kwa kasi let s say juu ya daraja hiyo njia usipite geuza tafuta njia nyingine ni hatari
FB_IMG_1557609488588.jpeg
 
Bado hujaeleza vizuri.
Mi nikajua unatupa madini ya kujiokoa kama tumezama majini yani tupo chini ya maji na familia.
 
Ikiwa itazima ufanyike utaratibu wa kuizima isukumwe hadi sehemu salama, fundi aitwe achukue bodaboda kabisa ila aeleweshwe kabla ili ajue tatizo hapo itakua rahisi kwake yeye kuandaa spana za kuja nazo
Maana zaidi hapo maji yatakua yamefika kwenye plugs
Ila onto, kama unaendesha gari ukakuta sehemu maji yanakatisha kwa kasi let s say juu ya daraja hiyo njia usipite geuza tafuta njia nyingine ni hatari View attachment 1095109
Shukrani mkuu...kuna gari ya rafiki yangu juzi imekumbwa na mafuriko ya haja.
 
Bado hujaeleza vizuri.
Mi nikajua unatupa madini ya kujiokoa kama tumezama majini yani tupo chini ya maji na familia.
mm naongelea gari lako iwapo limekumbwa na mafuriko na ikatokea likaingia maji ndani
 
Kutokana na mvua zinazoendelea. Tujuzane hatua za kufanya iwapo gari itasombwa na maji au itaingia maji kutokana na mafuriko.
Nakuona mswahili ulobobea kwenye uandishi kichwa na content havina ushirikiano,shenzi kabisa sikujua kama kuna watu wazima akili zipo matakon uzee n mbaya sana
 
Nahisi kuna kitu kinakutekenya ww...na wazee kama ss tupo tayari kukupapasa..ich as niga
 
Nyooo!hata kwa bure sema nn acha mbwembwe unafanya wazee wanzio waonekane hawana busara kwa sababu ya we mzee mmoja
 
Back
Top Bottom