Erick MR
Member
- Nov 11, 2022
- 77
- 159
Habari Wana jamii naombeni ushauri Mimi ni mjasiriamali na Nina akaunti Benki tofauti tofauti kama CRDB , NMB na NBC lakini nahitaji kuchagua Benki Moja kati ya hizo kuhifadhi pesa nyingi yaani long term funds Sasa bado ni mebaki njia panda nichague ipi au ipi itakayokua na manufaa kama nikiweka Pesa zangu huko?