Kipi Cha kuzingatia kwenye uchaguzi wa Benki ya kuhifadhi Pesa zako?

Erick MR

Member
Joined
Nov 11, 2022
Posts
77
Reaction score
159
Habari Wana jamii naombeni ushauri Mimi ni mjasiriamali na Nina akaunti Benki tofauti tofauti kama CRDB , NMB na NBC lakini nahitaji kuchagua Benki Moja kati ya hizo kuhifadhi pesa nyingi yaani long term funds Sasa bado ni mebaki njia panda nichague ipi au ipi itakayokua na manufaa kama nikiweka Pesa zangu huko?
 
Kwani wewe unataka manufaa yapi.? Hizo bank zote ni nzuri
 
Nadhani anazingatia
  • Makato ya kila mwezi
  • Makato wakati w kutoa
Kuna baadhi ya benki wana account maalum, ambapo jukumu lako ni kufanya deposit tu, hiyo account haina makato ya kila mwezi na unapotoa fedha yako inatoka kama ilivyo bila ya ongezeko la riba wala makato yeyote.
 
Mtu mwenye hela nyingi Kama anavyosema mtoa mada. Hivyo ni vitu vidogo sana.
 
Nadhani anazingatia
  • Makato ya kila mwezi
  • Makato wakati w kutoa
Kuna baadhi ya benki wana account maalum, ambapo jukumu lako ni kufanya deposit tu, hiyo account haina makato ya kila mwezi na unapotoa fedha yako inatoka kama ilivyo bila ya ongezeko la riba wala makato yeyote.
Ni long term funds brother sio kwa akaunti ya kawaida , akaunti za kawaida ninazo hizo Benki tatu zote

Sent from my Pixel 4 XL using JamiiForums mobile app
 
Nadhani anazingatia
  • Makato ya kila mwezi
  • Makato wakati w kutoa
Kuna baadhi ya benki wana account maalum, ambapo jukumu lako ni kufanya deposit tu, hiyo account haina makato ya kila mwezi na unapotoa fedha yako inatoka kama ilivyo bila ya ongezeko la riba wala makato yeyote.
Sorry mdau inaitwaje iyo account n iko Bank gani?
Asante
 
Back
Top Bottom