Kwani wewe unataka manufaa yapi.? Hizo bank zote ni nzuriHabari Wana jamii naombeni ushauri Mimi ni mjasiriamali na Nina akaunti Benki tofauti tofauti kama CRDB , NMB na NBC lakini nahitaji kuchagua Benki Moja kati ya hizo kuhifadhi pesa nyingi yaani long term funds Sasa bado ni mebaki njia panda nichague ipi au ipi itakayokua na manufaa kama nikiweka Pesa zangu huko?
Nadhani anazingatiaKwani wewe unataka manufaa yapi.? Hizo bank zote ni nzuri
Mtu mwenye hela nyingi Kama anavyosema mtoa mada. Hivyo ni vitu vidogo sana.Nadhani anazingatia
Kuna baadhi ya benki wana account maalum, ambapo jukumu lako ni kufanya deposit tu, hiyo account haina makato ya kila mwezi na unapotoa fedha yako inatoka kama ilivyo bila ya ongezeko la riba wala makato yeyote.
- Makato ya kila mwezi
- Makato wakati w kutoa
Ni long term funds brother sio kwa akaunti ya kawaida , akaunti za kawaida ninazo hizo Benki tatu zoteNadhani anazingatia
Kuna baadhi ya benki wana account maalum, ambapo jukumu lako ni kufanya deposit tu, hiyo account haina makato ya kila mwezi na unapotoa fedha yako inatoka kama ilivyo bila ya ongezeko la riba wala makato yeyote.
- Makato ya kila mwezi
- Makato wakati w kutoa
Sorry mdau inaitwaje iyo account n iko Bank gani?Nadhani anazingatia