Kipi cha pekee na tofauti (special) kwa Wema kwenye bongo movie?

Ndo tuzo kibongobongo hizo,
Ndio mana hata domo anashinda kilasiku tuzo
mbalimbali nje, swali je anastahili..
No kwasababu kuna majobless wengi sana bongo kukaa kwenye vijiwe vya internet siku nzima kupiga kura mara 100 haoni tabu. Ukiulizwa analipwa atakwambia yeye ni timu matako gani sijui.
 
Kura lazima zipigwe ndio utaratibu wa ulimwengu uwezi kimbia ukweli huu
 
Kura lazima zipigwe ndio utaratibu wa ulimwengu uwezi kimbia ukweli huu
Ni sawa kupiga kura, tatizo mtu mmoja anashinda anampigia kura msanii wake mara 1000 wakipiga 100?
Wenzetu nchi zingine sidhani km wana muda wa kufanya upuuzi huo
 
Kabisa kila siku yupo studio kajikandika make up akipiga pocha mpya na kuzisambaza kwa mashabiki
Alipiga sana promo ndo maana ila bidada hana jipya huyu[emoji57]
 
kilichompa wema tuzo nikujiamini kwake, wasanii wengine ni waoga na hawajiamini
 
Tunaendekeza ushabiki mpaka kwenye vitu vya msingi...
na waandaaji wa Tuzo nao wanavokuaga hawajitambui [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23] basi utashtukia tu Tuzo kapewa amba lulu afu huelewi
 
Ni kweli wema sii msanii mzuri ila kilicho m'beba kwenye hizo tuzo zao ni kura za mashabiki wake.
Umeangalia Movie zake mpaka ukaconclude hivyo. Kuna mtu alikuwa ananiambia hivi unaangaliaje movie za wema nilimuwekea ndipo alipojua uigizaji wake. Wema huwa ni Halisi anapoact. Allin all haya mambo ya watanzania kupiga kura sijui movie. Wimbo yafanywe na wataaalamu lakini sio kupiga kura. Big no!
 
Hahahahah aisee,na ndio maana Tanzania kuwa maarufu ni dakika 0 tu. Kuna wapumbavu wengi sana ambao wapo tayari ku support mtu yeyote ataejiweka katika media hata kama hana la maana analofanya ila umaarufu tu.
 
Inawezekana washindi wa hizi tuzo wamepatikana kwa upigaji kura,sasa kama ana team na wamesisitiza watu wampigie kura kwanini asishinde wakati wewe hao unaowakubali hujawahi kuwapigia kampeni
 
Hahahahah aisee,na ndio maana Tanzania kuwa maarufu ni dakika 0 tu. Kuna wapumbavu wengi sana ambao wapo tayari ku support mtu yeyote ataejiweka katika media hata kama hana la maana analofanya ila umaarufu tu.
Kura za kora na kabla Davido aliimba "i will make you famous ooh"
Akimaanisha Diamond no my no 1.
Nyimbo ilivyokuwa kwenye Hit Diamond kafanya yake kapigiwa kama yeye tu alitoa nyimbo.
Ndio pale Davido alisema you lie on this too?
Davido, Tekno,Chameleon wala Wizk hawataki kusikia kabisa storyn za Huyu dogo wa tandale.
Nnachoweza sema kukomaa kakomaa licha ya magumashi mengi anaweza.
Ingawa kwasasa tujesabie kashafika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…