pathfinder_tz
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 356
- 377
- Thread starter
- #21
Unapakwa ky au mate!?sijaona ulicho andika.
kwani ulikua Una maanisha nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapakwa ky au mate!?sijaona ulicho andika.
kwani ulikua Una maanisha nini?
Cjaelewa=sijaelewaWema ni mtu au hisan kwa lugha yetu bado cjaelewa hyo ni jina la movie au inakuwaje?
We ulitka apewe nan!?Ulitaka apewe nan tuzo?
ww ingekufaa zaidi maana wivu wako kwa wema hauelezeki yaani nimaradufuWe ulitka apewe nan!?
Kura lazima zipigwe ndio utaratibu wa ulimwengu uwezi kimbia ukweli huuNdo tuzo kibongobongo hizo,
Ndio mana hata domo anashinda kilasiku tuzo
mbalimbali nje, swali je anastahili..
No kwasababu kuna majobless wengi sana bongo kukaa kwenye vijiwe vya internet siku nzima kupiga kura mara 100 haoni tabu. Ukiulizwa analipwa atakwambia yeye ni timu matako gani sijui.
Ni sawa kupiga kura, tatizo mtu mmoja anashinda anampigia kura msanii wake mara 1000 wakipiga 100?Kura lazima zipigwe ndio utaratibu wa ulimwengu uwezi kimbia ukweli huu
Kijana una matatizo....kipi hapo kilichokufanya u mtusi jamaa?Kichwa chako kimejaa mavi
Alipiga sana promo ndo maana ila bidada hana jipya huyu[emoji57]
Kazi anayo. Wacha ahangaikeKabisa kila siku yupo studio kajikandika make up akipiga pocha mpya na kuzisambaza kwa mashabiki
kilichompa wema tuzo nikujiamini kwake, wasanii wengine ni waoga na hawajiaminiView attachment 733744
Watanzania mnayapata wapi mapenzi ya Wema Sepetu kwenye bongo movie?
Kipi special kwa Wema ambacho anafaa kupewa tuzo ya Best actress?
Nimeangalia Heaven Sent ni movie ya kawaida sana ambaye Wema anajifanya mwema na mshamba mpaka pale anakutana na Gabo.
Watanzania tuache double standard, Wema kwenye movie ambayo imempa tuzo mbili ni very normal.
By the say kuna movie nimeiona kibongo bongo inaitwa Fatuma, its a hell of a movie Director na waigizaj wanajua sana pia setting ya movie na story very unique.
Tuliobahatika kuiona ile movie ya wakenya inaitwa Watatu ni movie nzuri sana na imestahili kujishindia tuzo zile ambazo imepata, movie imeandaliwa miezi sita na walivyoona tayari wakamleta mtu kutoka USA kuja kuidirect na kutoa ujuzi tofauti tofauti na ilivyokamilika, imestahili.
Sasa basi Wema kupewa best actress na viewers choice award ni vile tu anamashabiki wengi wa kumpigia kura na isitoshe watanzania wanapenda ushabiki badala ya kazi.
Hii ni changamoto kwenye tasnia ya filamu na sanaa kwa ujumla. Mtu apewe anachostahili kutokana na ubora wa kazi yake but isiwe kwa mapenzi tu kwa kufika hivyo tasnia itafika pale watu wanapotaka ifike like watapenda zaidi na watakosa maneno ya kukosoa.
Kina Lupita Nyong'o walipata platform na wakaitumia vizuri hakuna ku fake vitu, wanatumia kipaji na taaluma professionalism hakuna kubebana.
Tukumbuke we r miles away kuwa nominated kwenye Oscars na tuzo zngine mashuhuri kama tukiendelea kubebana na kushabikia watu badala ya kazi.
God bless Tanzania God bless bongo movies
Umeangalia Movie zake mpaka ukaconclude hivyo. Kuna mtu alikuwa ananiambia hivi unaangaliaje movie za wema nilimuwekea ndipo alipojua uigizaji wake. Wema huwa ni Halisi anapoact. Allin all haya mambo ya watanzania kupiga kura sijui movie. Wimbo yafanywe na wataaalamu lakini sio kupiga kura. Big no!Ni kweli wema sii msanii mzuri ila kilicho m'beba kwenye hizo tuzo zao ni kura za mashabiki wake.
Kura za kora na kabla Davido aliimba "i will make you famous ooh"Hahahahah aisee,na ndio maana Tanzania kuwa maarufu ni dakika 0 tu. Kuna wapumbavu wengi sana ambao wapo tayari ku support mtu yeyote ataejiweka katika media hata kama hana la maana analofanya ila umaarufu tu.