Kipi chama kikuu cha upinzani Tanzania kati ya ACT-Wazalendo na CHADEMA?

Kipi chama kikuu cha upinzani Tanzania kati ya ACT-Wazalendo na CHADEMA?

jitombashisho

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2020
Posts
667
Reaction score
2,245
Huo utata lazima umalizwe sasa.

ACT Wazalendo na Chadema ni kipi ndicho sahihi na kwa sababu gani kiwe chama kikuu cha upinzani?

Naomba wajuzi wa hayo mambo mtujuze.
 
Huo utata lazima umalizwe sasa.

ACT Wazalendo na Chadema ni kipi ndicho sahihi na kwa sababu gani kiwe chama kikuu cha upinzani?

Naomba wajuzi wa hayo mambo mtujuze.
Tupe maoni yako kwanza,ili tuende sawa.
 
ACT ni washiriki katika Kuongoza Serikali sasa utasemaje ni Wapinzani??
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Huo utata lazima umalizwe sasa.

ACT Wazalendo na Chadema ni kipi ndicho sahihi na kwa sababu gani kiwe chama kikuu cha upinzani?

Naomba wajuzi wa hayo mambo mtujuze.
CCM kwa sababu dhima yao ni
Mapinduzi ya uhalali
Mapinduzi ya kura
Mapinduzi ya wabunge

Hiki ndio chama kikuu cha upinzani
 
Huo utata lazima umalizwe sasa.

ACT Wazalendo na Chadema ni kipi ndicho sahihi na kwa sababu gani kiwe chama kikuu cha upinzani?

Naomba wajuzi wa hayo mambo mtujuze.
Moja ya qualification ya kuwa chama kikuu cha upinzani inatoka na idadi ya kura unazopigiwa katika level ya urais,ivyo CHADEMA ndicho chama cha upinzani kinachoongoza kwa kura nyingi uchaguzi wa 2020 pamoja na kuibiwa kura nyingi sana.
 
Huo utata lazima umalizwe sasa.

ACT Wazalendo na Chadema ni kipi ndicho sahihi na kwa sababu gani kiwe chama kikuu cha upinzani?

Naomba wajuzi wa hayo mambo mtujuze.
Hakuna chama kikuu cha upinzani tanzania. Bunge la tanzania wala halina kambi ya upinzani kutokana na ushindi mkubwa wa chama cha mapinduzi kwenye uchaguzi wa 2020.
 
Back
Top Bottom