jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 667
- 2,245
Tupe maoni yako kwanza,ili tuende sawa.Huo utata lazima umalizwe sasa.
ACT Wazalendo na Chadema ni kipi ndicho sahihi na kwa sababu gani kiwe chama kikuu cha upinzani?
Naomba wajuzi wa hayo mambo mtujuze.
ACT siyo chama cha upinzani, ni sabu ya ccmHuo utata lazima umalizwe sasa.
ACT Wazalendo na Chadema ni kipi ndicho sahihi na kwa sababu gani kiwe chama kikuu cha upinzani?
Naomba wajuzi wa hayo mambo mtujuze.
ACT Wazalendo ni CCM kindakindakiHuo utata lazima umalizwe sasa.
ACT Wazalendo na Chadema ni kipi ndicho sahihi na kwa sababu gani kiwe chama kikuu cha upinzani?
Naomba wajuzi wa hayo mambo mtujuze.
CCM kwa sababu dhima yao niHuo utata lazima umalizwe sasa.
ACT Wazalendo na Chadema ni kipi ndicho sahihi na kwa sababu gani kiwe chama kikuu cha upinzani?
Naomba wajuzi wa hayo mambo mtujuze.
Chama cha kijaniCHAUMA
Umri wako miaka ngapi?Huo utata lazima umalizwe sasa.
ACT Wazalendo na Chadema ni kipi ndicho sahihi na kwa sababu gani kiwe chama kikuu cha upinzani?
Naomba wajuzi wa hayo mambo mtujuze.
Hajui kwamba ACT imeanzishwa na Sitta. Na Nape. Watoto wa juzi hawaACT Wazalendo ni CCM kindakindaki
Jibu hili ni zuri sanaNi UPDP ndo ufuraie basi
Mzee alijua aliibiwa kura kwasababu waliompa pole walikua wengi kuliko kura alizopata.CHAUMA
TrueHajui kwamba ACT imeanzishwa na Sitta. Na Nape. Watoto wa juzi hawa
ccmHuo utata lazima umalizwe sasa.
ACT Wazalendo na Chadema ni kipi ndicho sahihi na kwa sababu gani kiwe chama kikuu cha upinzani?
Naomba wajuzi wa hayo mambo mtujuze.
Mzee alijua aliibiwa kura kwasababu waliompa pole walikua wengi kuliko kura alizopata.
Moja ya qualification ya kuwa chama kikuu cha upinzani inatoka na idadi ya kura unazopigiwa katika level ya urais,ivyo CHADEMA ndicho chama cha upinzani kinachoongoza kwa kura nyingi uchaguzi wa 2020 pamoja na kuibiwa kura nyingi sana.Huo utata lazima umalizwe sasa.
ACT Wazalendo na Chadema ni kipi ndicho sahihi na kwa sababu gani kiwe chama kikuu cha upinzani?
Naomba wajuzi wa hayo mambo mtujuze.
Hakuna chama kikuu cha upinzani tanzania. Bunge la tanzania wala halina kambi ya upinzani kutokana na ushindi mkubwa wa chama cha mapinduzi kwenye uchaguzi wa 2020.Huo utata lazima umalizwe sasa.
ACT Wazalendo na Chadema ni kipi ndicho sahihi na kwa sababu gani kiwe chama kikuu cha upinzani?
Naomba wajuzi wa hayo mambo mtujuze.