Mwanamalundi
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 3,125
- 1,435
Nenda Josiah Kibira University, Kagera. Kule utafundishwa na msomi mahiri Dk.Rwaitama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
muccobs iko tanzania au?
Mm ni muhtimu wa kidato cha 6 natarajia kujiunga na chuo kikuu mwaka huu ni kipi chuo bora wakubwa,nielekezeni mdogo wenu na munipe sababu kw nn ni bora?
udsm baba yao, kinafwata SUA, Mzumbe,Muhimbili....vingine ni vyoo vikuu...nasapoti kauli ya Dr Lymo
Wngi mnxema udsm ya NYERERE je hii udsm ya KKWETE bdo mnaxfia?
Hv kwel udsm unawz kucompare na st. joseph ktk engnerng?
udsm kwa siasa ndo jikoni lakini kwa kozi za uhandisi ni mist,dit, atc...udsm baba yao, kinafwata SUA, Mzumbe,Muhimbili....vingine ni vyoo vikuu...nasapoti kauli ya Dr Lymo
Kula 5 mkuu! Utamshauri mtu hujui kasoma combination gani wala anataka huko chuoni akasome programme gani??Sidhani kama JF itakuja kuwa na GREAT THINKERS kama inavyojitangaza, kama wapo basi ni wachache sana na hawawezi kutandaza upeo na weledi wao kwenye haya majukwaa, hususani hili la elimu, wengi tunajazana jukwaa la siasa, maana humu vikinda vinaleta kero kwa kujaza mada zisizo na tija.
Mleta mada amebandika bandiko (thread) ambayo kimsingi haijitoshelezi kuweza kujadiliwa, lakini nimeshangaa kuona wachangiaji wamekurupuka kuanza kutoa michango HAFIFU ambayo kimsingi haiakisi maudhui ya mtoa mada.
Kwa hali isiyo ya kawaida, mtoa mada anadai yeye ni muhitimu wa kidato cha 6, na anahitaji ushauri chuo gani bora hapa nchini, HAMJIULIZI SWALI HAPA? kuna taarifa za msingi hazijawekwa hapa, inapaswa mtoa mada ajipange upya na arudi na taarifa toshelezi ili apewe ushauri fasaha.