Kipi chuo kikuu bora Tanzania?

Wewe ndiye pekee uliye mjibu mleta mada tena kwa vielelezo, kigezo ulichotumia ni chenye mantiki katika ku-rank vyuo vyetu.

Haya sasa, kama kusikia ulikuwa hutaki, basi tumia fursa ya kuona.
 
Mm ni muhtimu wa kidato cha 6 natarajia kujiunga na chuo kikuu mwaka huu ni kipi chuo bora wakubwa,nielekezeni mdogo wenu na munipe sababu kw nn ni bora?

combi gani wewe?chuo kizuri kwa masomo yepi?

soma huu uzi..3 BEST UNIVERSITY lkn chuo kizuri ujue lazima kinaongoza kwa SUP na DISCO ..so jipange
 
Chuo kizuri ni akili yako tu.bt bongo tuna vyuo vyenye ahueni mfano udsm,sua, muhimbili na ardhi..hvo vingne vilivyobaki ni bora liende tu,hakuna kitu kabisa.
 
Chuo kizuri ni akili yako tu.bt bongo tuna vyuo vyenye ahueni mfano udsm,sua, muhimbili na ardhi..hvo vingne vilivyobaki ni bora liende tu,hakuna kitu kabisa.

we hauna akili#saut je chuo kikubwa kuliko vyote nchini#
 
Wewe ndiye pekee uliye mjibu mleta mada tena kwa vielelezo, kigezo ulichotumia ni chenye mantiki katika ku-rank vyuo vyetu.

Haya sasa, kama kusikia ulikuwa hutaki, basi tumia fursa ya kuona.

unamsifia kilaza uyo?labda yuko veta! Saut et 3.15, kwa taharifa yenu wa2 2na 1.9 na 2ko saut.
 
chuo chenye soko hapa nchini facult of law#udsm, saut, mzumbe#
 
usidanganye watu. udsm no 1 tz, ya 16 africa',1521 duniani. makumiranimeifuta hadi nimechoka.
 
'poor minded persons think in the line of impossibilities' udsm ugumu wake nin? inaonekana unapenda mteremko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…