Chuo kikuu cha Waislam Morogoro
Chuo kikuu cha Waislam Morogoro
Kwa vigezo vp mkuu?
Chuo kikuu cha Waislam Morogoro
mkuu unatafuta matusi!
tulia dogo ukikua utaacha,i love UDSMMimi na wewe ni nani kizazi cha Mulugo?? Angalia ulivyoandika! Hata hujui kuanza jina kwa herufi kubwa!. Na punguza matusi katika mijadala, haijengi!
Kwa taarifa yako, angalia link hii hapa Africa | Ranking Web of Universities na compare ranking ya UDSM ya mwaka jana na mwaka huu!
Pia kumbuka, hujui unamwandikia nani wewe unaanza na matusi, wenzako tulishapiga mashule yetu kitambo tu na hatujioni kama unavyochukulia wewe!!
saut- mwanza!
chuo kikuu.tanzania ni kimoja tu udsm.vingine ni succos ndo mnasoma mlo feli tu
Institute of Finance Management.
hata kuandika hujui mb * vu sio succos ni saccos udsm nichuo kikokngwe lakini sio chuo bora