Kipi Chuo Kikuu Bora Tanzania??

Kipi Chuo Kikuu Bora Tanzania??

Chuo kikuu cha Waislam Morogoro

sure mkuu. Graduates kutoka MUM wako makini na mahiri sana kwenye utendaji wa kazi, hii inareflect mambo mengi sana hasa kinchoendelea kwenye kile chuo.
 
TTC Ni Chuo Bora Kiko Kalia~Koo, Kimetoa Wataalamu Profasionary THIEF TRAINING COLLAGE KImeendelea Kuwa Tumaini Kwa Wanaokosa Vigezo Vya Kuendelea Na Shule, Wanataaluma Walio Bobea Maeneo Kama Ubungo Kimara Na Mtaa Wa Kongo!
 
chuo kikuu.tanzania ni kimoja tu udsm.vingine ni succos ndo mnasoma mlo feli tu
 
Mimi na wewe ni nani kizazi cha Mulugo?? Angalia ulivyoandika! Hata hujui kuanza jina kwa herufi kubwa!. Na punguza matusi katika mijadala, haijengi!

Kwa taarifa yako, angalia link hii hapa Africa | Ranking Web of Universities na compare ranking ya UDSM ya mwaka jana na mwaka huu!

Pia kumbuka, hujui unamwandikia nani wewe unaanza na matusi, wenzako tulishapiga mashule yetu kitambo tu na hatujioni kama unavyochukulia wewe!!
tulia dogo ukikua utaacha,i love UDSM
 
Hv kweli unaanzisha thread kuuliza chuo bora ni kipi??ungeuliza baada ya UD NA SOKOINE kna nan wanafata hapo ngekuelewa..
 
Hivi kwenye kupanga rank za vyuo vikuu constituent colleges kama MUCCoBS,DUCE,MUCE tunazijumuisha kwenye ranks za vyuo vikuu ? mfano SUA ni ya 3 maana yake na constituent college yake MUCCoBS ni ya tatu ,au UDSM ikiwa ya kwanza maana constituent college kama MUCE na DUCE ni za kwanza ,hii orodha ya ubora wa vyuo vikuu inaweza kuwa ya uongo
 
hata kuandika hujui mb * vu sio succos ni saccos udsm nichuo kikokngwe lakini sio chuo bora
 
Haya maswali ya kuuliza kipi ni chuo bora ni ya watu wenye uwezo mdogo wa kufikiria, siwezi kukushangaa sana may be unataka kujua hicho chuo chako unachosoma kipo katika ubora gani. Binasfi huwa napenda kusema hivi chuo bora ni kile ambacho kimesajiliwa na kinatambulika kisheria, kwa mfano hapa Tanzania vyuo vyote ambavyo viko chini ya TCU ndio vyuo bora. Kila chuo ni bora katika maeneo yake, mfano unapozungumzia Open University of Tanzania utaona kama ni chuo simple sana ila asikuambie mtu kwa mwanafunzi aliye graduate pale halafu akutane na wanafunzi wa kutoka vyuo vingine wakati wa kufanya masters anakuwa ni mzuri zaidi ya wale wengine kulingana na mfumo wa utoaji elimu wa Open university. Ukija upande wa lectures wazuri hapa lazima University of Dar es salaam watakuwa wako juu kuliko chuo chochote hapa nchini, upande chuo chenye kozi ngumu hapa wanaongoza ni Ardhi university na SUA, chuo kizuri kwa taaluma ya afya hapa wanaongoza ni Muhimbili university, chuo bora zaidi kwa utoaji wa taaluma ya sheria hapa huwakosi Tumaini university. Sasa utakuta kuna mambo mengi sana ya kutizama, nafikiri wale wenye uwezo mzuri wa kuelewa watakuwa wamenipata vizuri. Ila nilikuwa nakuomba nikushauri wewe mleta maada na wengine wengi kuwa unatakiwa ujikite zaidi kwenye kusoma kwenye chuo chochote kile ulichosajiliwa, jijengee utamaduni mzuri wa kujisomea hasa soma sana vitabu pia kumbuka kuwa na displine ya hali ya juu sana kwenye masomo
 
chuo bora n kile kinachokupa elimu inayokubalika dunia nzma pasi na kufikiliwa mara 2 na mara nyingi pia hutegemea na kozi,chuo kinaweza kuwa bora kwa kozi kadhaa na si zote,unaposoma chuo ukawa na uhakika wa ajira basi hicho chuo ni bora,mimi nasomea horticulture na chuo changu nakiona bora 7bu nikitoka napata ajira either private sector au government sector,be proud of where you are ucho unachohisi bora zaidi kuna wanaomaliza na wako kitaa
 
hata kuandika hujui mb * vu sio succos ni saccos udsm nichuo kikokngwe lakini sio chuo bora


Matatizo ya shule za kata. Unamkosoa mwenzako wakati maandishi yako yanaonyesha kabisa hujui hata kutumia herufi kubwa na ndogo!!. Nae unajiita msomi!
 
Back
Top Bottom