Kipi hasa kina mnyima nafasi mwalimu wa Economics asifundishe somo la business study ??

Kipi hasa kina mnyima nafasi mwalimu wa Economics asifundishe somo la business study ??

Mmea Jr

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2016
Posts
798
Reaction score
1,871
Wakuu natumaini mpo salama ,, moja kwa moja kwenye mada ..

Ni hivi katika ajira hizi zilizotolewa na utumishi hivi karibuni ,, nimeona walimu wa Economics wakizuiliwa vikali kuomba nafasi ya kwenda kufundisha somo la business study ( commerce ) ..

Somo la bussiness study
Hili ni somo linaloenda kuanza kufundishwa katika shule za sekondari kwa mujibu wa mtaala mpya ulionza kutekelezwa hivi karibuni

Somo hili sifa zake zinafanana kwa kiwango kikubwa na somo la biashara ambalo hapo nyuma liliitwa Commerce ,,, somo hili linataka mwalimu mwenye sifa ya kulifundisha awe ni mwalimu aliye soma Bed com ( bookkeeping & commerce )

Lakini kumekuwepo na mfanano fulani kati ya somo la commerce na somo la Economics.. somo hili la Economics kwa hapa Tanzania ni somo ambalo linaanza kufundisha Advanve ( form 5&6 )..

Sasa katika ajira zilizotolewa na serikali kwa kupitia utumishi mfumo wa maombi umewakatilia walimu wa Economics wasiweze kuomba nafasi ya kwenda kufundisha somo la bussiness study .. ikiwa na maana walimu wa economics hawana sifa ya kufundisha somo hili

Halii imewaletea walimu hawa wa Economics unyonge mkubwa sana kwanini ??

Hebu tuangalie mada (topics ) za masomo haya kwa undani zaidi afu tuje tujadili kwa kina nini hasa kinapelekea walimu hawa wasiruhusiwe kufundisha somo hili la business study ambalo linapendekeza mtu aliyesoma commerce ndiyo awe mwalimu wa somo hili ,, licha ya kuwa somo hilo la commerce linamfanano mkubwa sana wa topics na somo la economics

Commerce, Economics
Topics - Topics
1. Scope of - 1. Subject of
Commerce. - Economics

2. Production. - 2. Production

3.trade - 3. Demand
- whole sale - supply
- retail trade

4. Ware hausing- 4. Privatization

5. Insurance - 5. Theory of
firm
6 . Advertizing - 6. Marketing

7 . Money and. - 7. Theory of
Banking. - Money


Natambua utofauti uliopo katika masomo haya lakini pia ningependa tujadili mfano mkubwa uliopo katika masomo haya mfano
Commerce , - Economics

Money and -theory of money
Banking -fancial institution


Trade - internation trade

Production. - Production


Je kwa mfanano huu bado mwalimu wa Economics hana sifa za kufundisha somo la commerce (huku litaitwa bussiness study ) tena katika level ya sekondari ??


Nimejaribu kuangali hili somo la bussiness study ambalo linaenda kuanza kufundishwa kuanzia ngazi ya form one ,,,,linafundisha vitu gani hasaa?? Na kuona yafuatayo

Topics

Bussiness study

1)theory and principle of business Education

2) discribe concept and principle of interprenuership

3) describe concept of production

4) source of capital

5) Role of micro financing


Je vitu hivi mwalimu wa Economics level ya degree hawezi kuvifundisha kweli mpaka tumnyime nafasi ya kufundisha somo hili la bussiness study ??


Wakuu hebu naombeni maoni yenu kwasababu naamini wakubwa wapo humu na wanasoma hivi vitu tunavyouliza hivyo huenda kwa namna moja au nyingine ikasaidia kuona kitu fulani ili tukawasaidia kwa namna moja au nyingine ndugi zetu ,, jamaa zetu ambao wamesomea fani ya ualimu katika soma la Ecomomics ..

Nimeambatanisha na mtaala wa somo hili la bussiness study ili kwa atakaye taka anaweza kupitia na kupata mwanga zaidi ili aweze kutoa maoni kama mwalimu w economics anafaa au hafai kulifundisha
 

Attachments

Pole bana Nafaasi yako ipo inakuja , utashukuru mno why umenyanyapaliwa
Asante ila Naamini kuna sababu ya ndani wakibwa wetu wanayo iliyoelekea waamue hivi ndiyo nataka niijue ili nipate tulizo la nafsi
 
Mkuu. Niliwaza hii kitu sikupata majibu.
Natumaini majibu yatapatikana hapa.
 
Mimi nimesoma Commerce form one hadi form two na nikaja kusoma Economics form five na six. Katika haya masomo kuna vitu vingi vinaingliana na kwa mtazamo wangu mwalimu wa economics anafundisha vizuri tu commerce O-level.
 
Mwalimu wa Economics anaweza kuzuiwa kufundisha somo la Business Studies kwa sababu kadhaa, kulingana na sera za elimu na sifa za kufundisha.
 
Mimi nimesoma Commerce form one hadi form two na nikaja kusoma Economics form five na six. Katika haya masomo kuna vitu vingi vinaingliana na kwa mtazamo wangu mwalimu wa economics anafundisha vizuri tu commerce O-level.
Matokeo ya form two ya mwaka Jana shule za mwanza urban unakuta wanafunzi majority Wana F.

NILISHANGAA SANA SANA.

Last born wetu AMBAE amemaliza UDSM mwaka Jana BCOM yeye alisoma olevel ST. SOMETHING (SHULE ZA KIKATOLIKI). Alifanya vyema Sana na kuchaguliwa ECA shule ya SERIKALI

Tanzania Kuna shida kubwa Sana kwenye walimu wa book keeping na commerce Ila mdogo angu alikua na msingi ni kuteleza Kama kambale maana alitoka na msingi imara kwenye both level

Sioni shida kwa mwalimu wa ECONOMICS kufundisha somo la business studies.


Enzi za nyuma kwenye kazi walikua wanasema ANY DEGREE RELATED LEO HII MAMBO YAMEKUA MENGI.
 
Wakitakiwa economics wafundishe business study, rasilimali IPO kazini. Hakuna shule isiyo na mwl WA econo.
 
Nadhan anafundisha bila shida yoyote kabisa, nilijaribu kuangalia kitabu cha form 1 nikaona wanasoma Production, Proprietorships na topics ya mwanzo ilikua na concept km wants, demand, opportunity cost nk, hata Mimi niliyesoma uchumi advance 2007 naweza kufundisha
 
Back
Top Bottom