Kipi hupendi kuulizwa

Kipi hupendi kuulizwa

Emma M Bai

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2019
Posts
223
Reaction score
126
Me sipendi haya maswali
*Unarudi saa ngapi
*Utakula
*Una miaka vingapi
*Nikija kwani utataka
*Uko wapi
*Mama yako yupo
*Ule mzigo nilio kuomba unanipa
Sipendi sana
 
Unaongea na nani au ulikuwa unaongea na nani kwenye simu...?
 
pogba ni wa Liverpool au Chelsea?
 
Kabila gani sipend hili swali coz.halina maana
 
sipendi kuulizwa.. baba ako anafanya kazi gani
 
Nikikupa utanipiga vingapi?
Unaonekana una madem wengi sana,mimi ntakua wangapi?waga nawajibu utakua wa elfu18.
 
Back
Top Bottom