Cosmasjulius
JF-Expert Member
- May 22, 2018
- 695
- 1,011
Nilizichakata sana papuchi mwaka huu kuliko maelezo yaani mpka kufikia ukingoni bado nazichakata tu,
Muda si mrefu pia naenda kuichakata papuchi moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mwaka ambao nimeshindwa kutimiza lengo lolote kwa ukamilifu yaan kila nlichopanga Jan1 2019 ni kama vingi vimekwama..Mungu tu anisamehe tena kwa kutotii sheria zake tofauti na miaka mingine na anitie nguvu 2020!
Sent using Jamii Forums mobile app
pole sana mwamba ndo maisha tuliyonayoMwaka ambao nimepata majanga mengi zaid kuliko miaka mingine aseee.
Sent using Jamii Forums mobile app
asante kwa maoni
no commentNilizichakata sana papuchi mwaka huu kuliko maelezo yaani mpka kufikia ukingoni bado nazichakata tu,
Muda si mrefu pia naenda kuichakata papuchi moja
Sent using Jamii Forums mobile app
pole sana Mungu akurehemuNi mwaka ambao nimeshindwa kutimiza lengo lolote kwa ukamilifu yaan kila nlichopanga Jan1 2019 ni kama vingi vimekwama..Mungu tu anisamehe tena kwa kutotii sheria zake tofauti na miaka mingine na anitie nguvu 2020!
Sent using Jamii Forums mobile app
pole sanaKuumizwa na niliyempenda mpka kujisahau, na kupata mpenzi aliyeziba lile jeraha# stitches #
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwaka ambao nimekaa uraiani bila vurugu kubwa ukilinganisha na miaka ya nyuma
Sent using Jamii Forums mobile app
pole sana mishil2019 imekuwa rough sana kwangu binafsi na familia yangu kwa ujumla, pengine ni mwaka niliotoa machozi mengi kuliko mwaka mwingine wowote. Tumekutana na mambo makubwa ambaya hatujawahi kuyashuhudia. Lakini naamini Mungu ni mwema yatakwisha
Sent using Jamii Forums mobile app
pole sanaMwaka ambao umekua na majanga kwangu sana nimeibiwa kila kitu cha ndani
Sent using Jamii Forums mobile app