Unanikumbusha yaliyo nitokea Kitonga 17Oct saa saba usiku. Mimi, mke na mama mkwe tungepotelea korongoni.
Namshukuru Mungu,nimetimiza lengo la kuanza kujitegemea(ghetto life)am happy ,ila pia nashukuru nimechezea kibuti kwa mtu niliyekua namlove love, ila freshi tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera sana kalumbu [emoji120][emoji120]Namshukuru Mungu,nimetimiza lengo la kuanza kujitegemea(ghetto life)am happy ,ila pia nashukuru nimechezea kibuti kwa mtu niliyekua namlove love, ila freshi tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Unanikumbusha yaliyo nitokea Kitonga 17Oct saa saba usiku. Mimi, mke na mama mkwe tungepotelea korongoni.
Mungu ni mwema [emoji120][emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole kalumbu, Mungu ni mwema kwa watu wake,nnavyoogopa kitonga pale uwiiiUnanikumbusha yaliyo nitokea Kitonga 17Oct saa saba usiku. Mimi, mke na mama mkwe tungepotelea korongoni.
Mungu ni mwema [emoji120][emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante,hata sijui nani angejua tumemwagikia kule chini[emoji3][emoji3][emoji3]Pole kalumbu, Mungu ni mwema kwa watu wake,nnavyoogopa kitonga pale uwiii
Sent using Jamii Forums mobile app
2019 imekuwa rough sana kwangu binafsi na familia yangu kwa ujumla, pengine ni mwaka niliotoa machozi mengi kuliko mwaka mwingine wowote. Tumekutana na mambo makubwa ambaya hatujawahi kuyashuhudia. Lakini naamini Mungu ni mwema yatakwisha
Sent using Jamii Forums mobile app
imepiga radi uwanjani kwangu na kupasua mti tuliofunga kamba ya kuanika nguo, radi hiyo imeleta madhara kwenye mita ya umeme imebidi ibadilishwe, vifaa vya umeme kama frigi, tv, dstv decorder vimeungua xmas imekuwa mbaya sana
Hasara Umfika Mwenye Mabezo
Ni Mwaka ambao Mungu amenifanyia Mambo Makubwa Mno zaidi ya yake niliyokua naomba au nataka.Ashukuriwe Mungu sana.. Mwaka 2020 natarajia yaliyo mazuri na Makubwa zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app