Kipi hutakisahau mwaka 2019?

Kipi hutakisahau mwaka 2019?

Mwaka huu kwa kweli haukuwa mzuri sana kwangu ila yote nashukuru Mungu.Ni mwaka ambao sehemu kubwa nimejikuta nikiwa na majonzi na hasa ukiwa baada ya kufarakana na familia yangu.Nikiwa na mtoto mdogo ambaye alihitaji zaidi malezi ya pande mbili ila ikawa ni tofauti kabisa.

Nashukuru Mungu pamoja na yote uzima upo na wao wanaendelea vizuri.God is good all the time

Sent using Jamii Forums mobile app
 
imepiga radi uwanjani kwangu na kupasua mti tuliofunga kamba ya kuanika nguo, radi hiyo imeleta madhara kwenye mita ya umeme imebidi ibadilishwe, vifaa vya umeme kama frigi, tv, dstv decorder vimeungua xmas imekuwa mbaya sana

Hasara Umfika Mwenye Mabezo
 
Mungu ni Mwaninifu sana.. Mwaka 2020 ukawe wa kheri kwako.. Akusahaulishe mapito yote uliyopitia Mwaka 2019.
2019 imekuwa rough sana kwangu binafsi na familia yangu kwa ujumla, pengine ni mwaka niliotoa machozi mengi kuliko mwaka mwingine wowote. Tumekutana na mambo makubwa ambaya hatujawahi kuyashuhudia. Lakini naamini Mungu ni mwema yatakwisha

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu pole sana.
Je wewe nawe ni (MWENYE MABWZO)
imepiga radi uwanjani kwangu na kupasua mti tuliofunga kamba ya kuanika nguo, radi hiyo imeleta madhara kwenye mita ya umeme imebidi ibadilishwe, vifaa vya umeme kama frigi, tv, dstv decorder vimeungua xmas imekuwa mbaya sana

Hasara Umfika Mwenye Mabezo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom