pole sanaKwa mara ya kwanza 2019 nimewahi kufikiri nmerogwa.
-Mwaka ambao nmejitoa kwa jamii kuliko miaka yote..
-Nme experience disappointment kubwa kubwa
-Nmetoka Misri nmekwama Jangwani labda 2020 ntafika Kanaani
-Lakini namshukuru Mungu Hata kama nmekwama jangwani ,nakula, nakunywa nina afya njema mengine majaaliwa ya Mwenyezi Mungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafikiri tupo pamoja kwenye hilo!!Ni mwaka ambao nimeshindwa kutimiza lengo lolote kwa ukamilifu yaan kila nlichopanga Jan1 2019 ni kama vingi vimekwama..Mungu tu anisamehe tena kwa kutotii sheria zake tofauti na miaka mingine na anitie nguvu 2020!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera sana my dear2019 moja ya mwaka bora kabisa
Thanks darling [emoji73]Hongera sana my dear
Inawezekana ulichokifanya/uliyoyafanya ni msingi wa mazuri yajayo...Nafikiri tupo pamoja kwenye hilo!!
Nimefanya mengi sana, ila najikuta narudi nyuma hatua tatu!!
Kiufupi sijaongeza chochote kwenye kitu kinachoitwa maendeleo yangu!
Yo welcome my dearThanks darling [emoji73]
Aimeenn!Inawezekana ulichokifanya/uliyoyafanya ni msingi wa mazuri yajayo...
Jinsi unavyochimba chini sana ndivyo unavyojenga jengo refu zaidi...
Kwa hali yoyote waliyo nayo thamani yao inazidi kuongezeka. Mungu ni mwema, aendelee kuwajaalia afya njema na maisha marefu.
Nazidi kuwapenda kwa ujumla wao [emoji120][emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Namshukuru Mungu,nimetimiza lengo la kuanza kujitegemea(ghetto life)am happy ,ila pia nashukuru nimechezea kibuti kwa mtu niliyekua namlove love, ila freshi tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mwaka ambao mwanangu alipata kupona baada ya kuteseka Kwa miaka minne,pia ni mwaka ambao Mungu aliniepusha na ajali mbaya,hiyo siku nilikua namwah mgonjwa hospital ,niliponea chupuchupu kugonga watoto watatu waliokua wanavuka kwenye zebra..kama sio Mungu sijui ningekua wapi.Hadi leo naogopa kuendesha gari, kichwa hakijakaa sawa.
Sent using Jamii Forums mobile app