Kipi hutakisahau mwaka 2019?

Kipi hutakisahau mwaka 2019?

Kikubwa Mungu hajakuacha
All is well mom[emoji123]
Mwaka huu kwa kweli haukuwa mzuri sana kwangu ila yote nashukuru Mungu.Ni mwaka ambao sehemu kubwa nimejikuta nikiwa na majonzi na hasa ukiwa baada ya kufarakana na familia yangu.Nikiwa na mtoto mdogo ambaye alihitaji zaidi malezi ya pande mbili ila ikawa ni tofauti kabisa.

Nashukuru Mungu pamoja na yote uzima upo na wao wanaendelea vizuri.God is good all the time

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2019 imekuwa rough sana kwangu binafsi na familia yangu kwa ujumla, pengine ni mwaka niliotoa machozi mengi kuliko mwaka mwingine wowote. Tumekutana na mambo makubwa ambaya hatujawahi kuyashuhudia. Lakini naamini Mungu ni mwema yatakwisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Poleni sana!! Ni mapito na ya maisha tu hayo, we hope for a great 2020.
 
Mengi magumu yamenikuta..huu mwaka nimelia mno..ule msemo wa kuwa uyaone nimeushuhudia mwaka huu.

Kizuri ni yule mwanaume niliyeletewa maisha mwangu..[emoji4]

Namshukuru Mungu kwa yote niliyoyapitia.


Sent using Jamii Forums mobile app
Tuamini 2020 utakuwa mwaka wa furaha tu, mafanikio tu na afya njema kabisa.
 
Ukweli niliyopitia mwaka huu ni history kamili ya maisha yangu nimepitia magumu mengi,ambayo mungu ndo mwamuzi,,, Ila pamoja na changamoto zote zilizojitokeza namshukuru mungu kwa uhai alionipa mpaka naweza kuandika haya. Thank you load.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu umekuwa ni mwaka wa majanga sana kwangu.
Nimelia mara nyingi nahisi kuliko hata miaka mingine iliyopita.[emoji17][emoji17]

Kikubwa ni uhai

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hali yoyote waliyo nayo thamani yao inazidi kuongezeka. Mungu ni mwema, aendelee kuwajaalia afya njema na maisha marefu.
Nazidi kuwapenda kwa ujumla wao [emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom