Kipi kati ya haya ni upungufu wa nguvu za kiume?

Kutokuwa na moja kati ya hayo(1,3 na4) ndio upungufu wa nguvu za kiume.. Ila kutokuwa na namba 2 hapo juu huo sio upungufu wa nguvu za kiume ila ni ukosefu kabisa wa nguvu za kiume.
 
Hivi kipi kati ya haya ni upungufu wa nguvu za kiume?

1. Kuwahi kumwaga
2. Kutodinda
3. Kutokuwa uwezo wa kurudia tendo
4. Kutokuwa na uwezo wa kutungisha. mimba.

WanaJF naombeni mnisaidie hapo which is which?
All of the above ni ukosefu wa nguvu za kiume mkuu
 
Hivi kipi kati ya haya ni upungufu wa nguvu za kiume?

1. Kuwahi kumwaga
2. Kutodinda
3. Kutokuwa uwezo wa kurudia tendo
4. Kutokuwa na uwezo wa kutungisha. mimba.

WanaJF naombeni mnisaidie hapo which is which?
1 na 3 yanarekebishika, 2 na 4 ndio hasa matatizo.

1:
Kuwahi kumwaga husababishwa na kukamia sana, au goli la kwanza baada ya ukame wa muda mrefu. Usikamie sana na jitahidi kuamsha hisia urudie goli lingine.

3:
Kutokurudia tendo husababishwa na kukinai, kuridhika au kukosa msisimko na hisia. Ushirikiano wa wenza kuamshana hisia ni muhimu.
 
Mkuu, namba 2 na 3 hzo ndo dalili tisha kuwa MTU anaupungufu wa Nguvu za Kiume.. Namba 1 na 4 hayahusiki kabisa na upngf wa ngv z kiume
 
1 na 3 upungufu wa nguvu za kiume.
2 ni uhanithi
4 ni ugumba.
 
Je mm ambaye simwagi kabisa nikimwaga labda masaa mawili hivi ni tatizo pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…