uchumi2018
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 1,657
- 2,406
Ndiyo ila huu ugnjwa unawapata wanawakeKwahiyo unataka kusema kuna ukosefu Wa nguvu za kike
ila kwa leo tunazungumzia wanaume.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo ila huu ugnjwa unawapata wanawakeKwahiyo unataka kusema kuna ukosefu Wa nguvu za kike
All of the above ni ukosefu wa nguvu za kiume mkuuHivi kipi kati ya haya ni upungufu wa nguvu za kiume?
1. Kuwahi kumwaga
2. Kutodinda
3. Kutokuwa uwezo wa kurudia tendo
4. Kutokuwa na uwezo wa kutungisha. mimba.
WanaJF naombeni mnisaidie hapo which is which?
Duuh hilo ni zaid ya ukosevu wa nguvu za kiumeSina uwezo wa kuifikia papuchi mkuu kwani nakuwa nimeshamwaga tayari!
Habbat soda+maziwa+asaliNaomba kuuliza hivi "KUWAHI KUMWAGA" dawa yake ni nini????
Dah,Sina uwezo wa kuifikia papuchi mkuu kwani nakuwa nimeshamwaga tayari!
1 na 3 yanarekebishika, 2 na 4 ndio hasa matatizo.Hivi kipi kati ya haya ni upungufu wa nguvu za kiume?
1. Kuwahi kumwaga
2. Kutodinda
3. Kutokuwa uwezo wa kurudia tendo
4. Kutokuwa na uwezo wa kutungisha. mimba.
WanaJF naombeni mnisaidie hapo which is which?