Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 5,487
- 4,817
Hivi ni kipi kati ya sikio na pua, kinachoshikilia miwani pindi unapokuwa umeivaa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah lakini na masikio yana nafari yake, naona.Kwa upande wangu naona pua ndiyo hushikilia.
Maana ninapovaa miwani, pua ndiyo huumia zaidi. Labda Kwa kuwa sijazoea au sipendelei kabisa.
Sidhani lakini, kama na wao watakuwa na jibu la uhakika.Duh hivi umewaza nini?? Swali la kitoto lkn fikirishi kweli kweli ngoja wavaa mawani wakuje
Mhhh.. Semaaa
Hahah.. Lazima kuna kimoja ambacho ndio kila kitu.Vyote vinategemeana bila sikio miwani haikai na bila pua miwani haikai
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mimi naona sikioHahah.. Lazima kuna kimoja ambacho ndio kila kitu.
Kuna mtu nliwahi kumuona hana pua(imekatika) na kavaa miwani so ni masikio ndo yanayoshikilia miwanHivi ni kipi kati ya sikio na pua, kinachoshikilia miwani pindi unapokuwa umeivaa?
hahah..inaweza,kuwa..ila,sababu..je?[emoji23] [emoji23] [emoji23] mimi naona sikio
hahah..haya,bhana.
hahahaha..kweli,mkuu?Kuna mtu nliwahi kumuona hana pua(imekatika) na kavaa miwani so ni masikio ndo yanayoshikilia miwan
Sababu sikio ndo linashikilia miwani.hahah..inaweza,kuwa..ila,sababu..je?
hahaha..asantee,kushirikiiiii.Sababu sikio ndo linashikilia miwani.