Kipi kati ya sikio na pua?

Kipi kati ya sikio na pua?

Blank page

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2015
Posts
5,487
Reaction score
4,817
Hivi ni kipi kati ya sikio na pua, kinachoshikilia miwani pindi unapokuwa umeivaa?
 
Duh hivi umewaza nini?? Swali la kitoto lkn fikirishi kweli kweli ngoja wavaa mawani wakuje
 
Kwa upande wangu naona pua ndiyo hushikilia.
Maana ninapovaa miwani, pua ndiyo huumia zaidi. Labda Kwa kuwa sijazoea au sipendelei kabisa.
 
Kwa upande wangu naona pua ndiyo hushikilia.
Maana ninapovaa miwani, pua ndiyo huumia zaidi. Labda Kwa kuwa sijazoea au sipendelei kabisa.
Hahah lakini na masikio yana nafari yake, naona.
 
Vyote vinategemeana bila sikio miwani haikai na bila pua miwani haikai
 
Back
Top Bottom