Ujambazi / wizi wa mabavu - Kupora watu mali zao kwa mabavu
Tamaa na ubinafsi,
Uzinzi yakiwemo madhara yake kama kuathiri uchumi na magonjwam
Matatizo ya ndoa - Kuchepuka, kukosekana amani, ndoa kuvunjika, n.k.
Unafki - Kuvaa kinyago cha kuficha nia za kweli mtu awapo mbele ya mwenzie
Uchawi - Kama unaamini upo uongeze kwenye orodha, kama huamini haupo ishia vya juu