Walokole hao, wachungaji wamewaharibu sana vichwaniHata hizi imani za kina Mwamposa ni matokeo ya ushirikina uliokuwepo kwenye jamii... Kila mtu mwenye kukosa jambo fulani anaamini amerogwa na wahuni wanapitia humohumo
Wanawake1. Ujambazi / wizi wa mabavu - Kupora watu mali zao kwa mabavu
2. Tamaa na ubinafsi,
3. Wanando wazinzi / wachepukaji.
4. Unafki - Kuvaa kinyago cha kuficha nia za kweli mtu awapo mbele ya mwenzie
5. Uchawi - Kama unaamini upo uongeze kwenye orodha, kama huamini haupo upotezee
✍️✍️ wenye nacho huanza kujirimbikizia vingi wao, wasioweza kuiba huanza kuchukia na kuanza kukuroga na kufanyiana mambo mabayaResources zingekuwa nyingi za bila kikomo,
Sababu uhaba wa resources ndio chanzo cha karibia matatizo mengi sababu hutengeneza hofu ya kukosa au kuishiwa hivyo unaanza wizi kwa wasiokuwa nacho na wenye nacho huanza kujirimbikizia vingi wao, wasioweza kuiba huanza kuchukia na kuanza kukuroga na kufanyiana mambo mabaya