Kipi kibaya zaidi kati ya kutembea na binamu au shemeji?

Binamu hapana huyu ni ndugu yako! Kwa upande wa shemeji unaweza kugonga ila asiwe mke wa mtu, hapa namaanisha usile shemeji mke wa kaka yako, lakini unaweza kula wadogo zake coz kuna makabila inaruhusiwa hata kuoa sehemu moja wewe na kaka yako na mdogo wako pia wote mkavuta wa tumbo moja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…